Sokoine university of Agriculture

Kerpp

Member
Aug 15, 2012
58
10
Maajabu yatokea katika foleni ya kupata magodoro kwa mwaka wa kwanza, Dada mmoja azimia katika foleni cha kushangaza baada ya kuambiwa achukue godoro ili akapumzike akapata fahamu" daah ni shida tupu ndg wa SUA undergraduate mjipaaaangeeee!
 
kwa hiyo mliweza kuongea na mtu aliyezimia??
 
kwa hiyo mliweza kuongea na mtu aliyezimia??

yule alikua mizinguo kwasababu wenzie waliambiwa wambebe kisha apelekwe hospital cha kushangaza baada ya kufka get la mazimbu hospital akashtuka' eti nyie npen tu godoro niende kupumzika room kwangu!
 
poleni bandugu, msalimieni yule maza kauzu wa unit 2 cafeteria...! vumilieni coz tulipitia matatizo hayo hayo bt 4 now ni bata tuuu

kwel ndg yule mum anajidai kauzu kwanza chakula hakiiv halaf bei kubwa' ngoja vbak akale na familia yake' kitu unit3&4 cafteria!
 
Back
Top Bottom