Kwamba wafanyabiashara wa nchi ulizozitaja wao China hawapafahamu??
Wafanyabiashara wa nchi kama zambia, malawi, congo ya lubumbashi na hata zimbabwe wengi pamoja na kuifahamu china hununua bidhaa zao kariakoo kama ilivo wafanyabiashara wa mwanza , kagera ambao hufuata bidhaa zao kampala sio kwamba china hawapafahamu hapana lakini hata mitaji pia inafanya mtu aende sehemu anayomudu, ungesoma vizuri alichoandika usingehoji namna hiyo