Nitaanzisha ila nimetoa angalizo tu la kukubali watu waje kuwekeza kwenye kuuza maduka badala ya kujenga viwandaHivyo viwanda kwanini usianzishe wewe!
Je hilo ni bora kuliko kujenga viwanja?Sio kwamba tutakuwa tumeletewa China Ubungo ili wafanyabiashara wakanunue hapo bidhaa zao kwaajili ya kuuza?
Na ndicho kitafanyikaWakiua viwanda, watu wasio na kazi wataongezeka , na panya road pia.. sasa hapo ndio kimbembe kitaanza, hawa viongozi wa bongo wanawaza matumbo yao na vizazi vyao, hawajui kua kwa kufanya hivyo hawatakua salama. Nchi ngumu sana hii.
Hivi unawajua wachina au wawasikia? Watapeleka mizigo KKOONahisi itakuwa ni one stop centra ya waagizaji wakubwa. Yaani mizigo mikubwa mikubwa lengo likiwa inchi za maziwa makuu na inchi zisizo na bahari. Halitakiwa ku- compete na kkoo.
Tatizo hujatumia akili kufikiriWananchi wanataka bidhaa bora na nafuu, kama wewe ni mlanguzi jiandaee kurudi kijijini,
Hawawezi andamana sababu treni haitaweza beba abiria woteWatanzania kwa kulialia, kulalamika hovyo mara wanataka kutuletea ushoga, mara wanataka kuua maskini na bima, mara wanataka kuua viwanda vyetu. Sisi ni wazee wa kulia lia kwenye keyboard wenzetu wanaangalia fursa wanaingia.
Soon Itakuja Train ya umeme Watu wama BUS wataandamana
Be ready for change na ujifunze kurepond accordingly. Wacha watu waweke INVESTMENT mambo yataji balance tu
🤣 🤣 🤣 🤣 train ya umeme??? kwa umeme upi??? huu huu wa kipara ??? train ya umeme sio ya mchezo mchezo mpaka sasa hivi inajengwa reli lakini mabehewa ya Escape from Sobibor. Nchi ngumu sana hiiWatanzania kwa kulialia, kulalamika hovyo mara wanataka kutuletea ushoga, mara wanataka kuua maskini na bima, mara wanataka kuua viwanda vyetu. Sisi ni wazee wa kulia lia kwenye keyboard wenzetu wanaangalia fursa wanaingia.
Soon Itakuja Train ya umeme Watu wama BUS wataandamana
Be ready for change na ujifunze kurepond accordingly. Wacha watu waweke INVESTMENT mambo yataji balance tu
Usiseme wapate ajira sema wapate vibarua. Kuna mchina anatoa ajira ya maana hapa Tanzania.Hiyo si sawa maana wataua kabisa viwanda vya ndani.
Wao walipaswa waje kujenga viwanda ili wananchi wapate ajira, na sio kuleta ready made items
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Wachina wanauza jumla na reja reja. Hata uwawekee sheria kali watauza. Na raia hawataona umuhimu wa kwenda kariakoo wakati anapata bidhaa ya 10,000 kariakoo kwa 4 hapo ubungo, wadhani raia wanataka huu upuuzi wa kujaziwa bei.Sio kwamba tutakuwa tumeletewa China Ubungo ili wafanyabiashara wakanunue hapo bidhaa zao kwaajili ya kuuza?
Wachina hawakutakiwa kupewa nafasi kuja kuuza bidhaa zao hapa nchini. Wabaki kwao watengeneze kisha wafanyabishara wetu ndio waagize ili ile chain wawe na nafasi ya kuongeza mzunguko wa pesa kwetu na kutengeneza ajira. Kitendo cha Wachina kuja maana yake serikali yao inawakopesha mitaji, wananunua kwa quantity kubwa na makampuni yao kule kwao yanawakopesha na kuwasaidia kuliko wageni hatimaye wanaua ushindani wa kibiashara kwetu.Sio kwamba tutakuwa tumeletewa China Ubungo ili wafanyabiashara wakanunue hapo bidhaa zao kwaajili ya kuuza?
Nauli za kwendac China zitafanya kazi nyingineSio kwamba tutakuwa tumeletewa China Ubungo ili wafanyabiashara wakanunue hapo bidhaa zao kwaajili ya kuuza?
Kwamba wafanyabiashara wa nchi ulizozitaja wao China hawapafahamu??Majirani zetu kina Congo, Rwanda, Zambia na wengine wanaochukua bidhaa kwetu
Rais Samia anapita humu wakae wafikirie hili swala sio zuri kwa usalama wa nchi.Wachina hawakutakiwa kupewa nafasi kuja kuuza bidhaa zao hapa nchini. Wabaki kwao watengeneze kisha wafanyabishara wetu ndio waagize ili ile chain wawe na nafasi ya kuongeza mzunguko wa pesa kwetu na kutengeneza ajira. Kitendo cha Wachina kuja maana yake serikali yao inawakopesha mitaji, wananunua kwa quantity kubwa na makampuni yao kule kwao yanawakopesha na kuwasaidia kuliko wageni hatimaye wanaua ushindani wa kibiashara kwetu.
Majirani zetu kina Congo, Rwanda, Zambia na wengine wanaochukua bidhaa kwetu na kuacha angalau fedha za kigeni kwenye transaction watakuwa wanachukua direct kwa Wachina, ambapo thamani iliyoongezeka itaenda China. Miaka ijayo kutokana na wafanyabishara wetu kuondolewa kwenye uagizaji bidhaa tutabaki na Wachina tu na watakuwa huru kuongeza bei za bidhaa.
Marekani na nchi za Ulaya zilipoenda kuwekeza China hazikwenda kuchuuza bidhaa zao bali kufanya uwekezaji kwenye sekta na kujenga viwanda. Wachina wao wanakuja kuuza hata mabeseni na yeboyebo. Sisi tunafanywa uchochoro
Sasa wewe hutaki vitu vishuke bei? Au unataka vya wakulima tu ndiyo vishuke bei?Wageni walitakiwa kufungua viwanda Tanzania, na sio kufanya Tanzania sehemu ya kuleta mizigo yao.
Ubungo panajengwa soko la jumla la Wachina. Hili soko litakuwa lauza bidhaa za kutoka China kwa bei ya jumla, maana yake watashindana na maduka ya kawaida.
Je, serikali imewafikiria Watanzania na yatayotokea huko mbeleni?
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Ndio tatizo la kukariri maishaSasa wewe hutaki vitu vishuke bei? Au unataka vya wakulima tu ndiyo vishuke bei?
Ni kosa maana watanzania watakosa kaziAcha walete tu maana tulikuwa na viwanda vyetu viko wapi sasa
Suala la maendeleo ni kama sio utamaduni hapa