BodGanleonid
JF-Expert Member
- Nov 14, 2022
- 3,021
- 4,343
Sometime Kuna maamuzi yanafanywa na viongozi ni ya kijinga sana.
Sasa hivi kwani wote wana kazi
Mchina anachotaka ni repatriation of foreign earned profits back to their firm's home country ChinaHiyo si sawa maana wataua kabisa viwanda vya ndani.
Wao walipaswa waje kujenga viwanda ili wananchi wapate ajira, na sio kuleta ready made items
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
alipunguza gap kwa kushusha walio juu badala ya kutupandisha tulio chiniHii nchi uko inakokwenda inatengeneza vita vya wenyewe kwa wenyewe maana gap la walionacho na wasio nacho linazidi kuongezeka kwa kasi sana.
Mwendazake alijaribu kulipunguza lakini huyu Hangaya kaja na yake. Anyway time will tell.
Kwamba wafanyabishara wote wa nchi jirani wanaenda China, India, Dubai na kwingineko kuagiza bidhaa?Kwamba wafanyabiashara wa nchi ulizozitaja wao China hawapafahamu??
Na kukwepa kodiMchina anataka aifanye Ubungo iwe depot ya Chinese goods
Ujanja ujanja tu kama kawaida yao
Ni kweli, lakini kuwapandisha walio chini inahitaji muda mrefu kidogo. angekaa miaka mingine mitano angewapandisha walio chini pia, ndio maana alikuja na vision ya viwanda ili kutengeneza ajira kwa vijana.alipunguza gap kwa kushusha walio juu badala ya kutupandisha tulio chini
Ukipata nafasi ya Rais wa Nchi unahitaji mwaka mmoja tu wa kufanya mabadiliko.Tengeneza mifumo ya kiutawala na iwekee sheria hiyo mifumo isitenguliwe kirahisi-huwezo kuongoza kwa kutumia utashi wako tu ukafanikiwa siku usipokuwepo kila kitu kitalala tena.Ni kweli, lakini kuwapandisha walio chini inahitaji muda mrefu kidogo. angekaa miaka mingine mitano angewapandisha walio chini pia, ndio maana alikuja na vision ya viwanda ili kutengeneza ajira kwa vijana.
Acha waje ili akili zisogee bila hivyo tuta endelea kuwa wajinga hivi hivi.Wageni walitakiwa kufungua viwanda Tanzania, na sio kufanya Tanzania sehemu ya kuleta mizigo yao.
Ubungo panajengwa soko la jumla la Wachina. Hili soko litakuwa lauza bidhaa za kutoka China kwa bei ya jumla, maana yake watashindana na maduka ya kawaida.
Je, serikali imewafikiria Watanzania na yatayotokea huko mbeleni?
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Kama naziona vile Chinese Int'l shipping companies COSCO, CIMC, HANJIN, YANG MING zikila mashavu wakiifanya Ubungo soko kuu la bidhaa za ChinaMchina aende COSCO Shipping afunge mamia ya makontena aje ashindane na kina Silent Ocean wanaovizia meli za transit sijui za Wamisri mara South Africa?
Kuna bomu litakuja kulipuka mbeleni tuwe wapole tu, muda ni mwalimu. Gap la walionacho na wasionacho ni kubwa sana, hatari sanaHii nchi uko inakokwenda inatengeneza vita vya wenyewe kwa wenyewe maana gap la walionacho na wasio nacho linazidi kuongezeka kwa kasi sana.
Mwendazake alijaribu kulipunguza lakini huyu Hangaya kaja na yake. Anyway time will tell.
ANGALIZO: Mimi sio mmoja wa wasio nacho, ni wa walionacho, ila ninawaza tu kwa kuangalia jicho la tatu.
Inawezekana vyote vikafanyika kwa pamoja, kuna uwekezaji wa viwanda 200 eneo la kwala Pwani...wawekezaji ni hao hao wachina.Wageni walitakiwa kufungua viwanda Tanzania, na sio kufanya Tanzania sehemu ya kuleta mizigo yao.
Ubungo panajengwa soko la jumla la Wachina. Hili soko litakuwa lauza bidhaa za kutoka China kwa bei ya jumla, maana yake watashindana na maduka ya kawaida.
Je, serikali imewafikiria Watanzania na yatayotokea huko mbeleni?
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Serikali iko mikononi mwa mafisadi tutegemee maumivu zaidiWageni walitakiwa kufungua viwanda Tanzania, na sio kufanya Tanzania sehemu ya kuleta mizigo yao.
Ubungo panajengwa soko la jumla la Wachina. Hili soko litakuwa lauza bidhaa za kutoka China kwa bei ya jumla, maana yake watashindana na maduka ya kawaida.
Je, serikali imewafikiria Watanzania na yatayotokea huko mbeleni?
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Ni viwanda vya consumer goods au capital goods?Inawezekana vyote vikafanyika kwa pamoja, kuna uwekezaji wa viwanda 200 eneo la kwala Pwani...wawekezaji ni hao hao wachina.
Watu hawawezi kusubiri mjenge viwanda mahitaji hayanasubira...
Na watz tunatabia ya kulalamika kila kitu,Sio watu wamaamuzi,hii tabia chafu ya kutafuta visingizio ndio maana tuko hapa tulipo
Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
Serikali ikiua Kariakoo itakuwa kosa kubwa la kihistoria la kiuchumi kuwahi kufanywa Tanzania!Wageni walitakiwa kufungua viwanda Tanzania, na sio kufanya Tanzania sehemu ya kuleta mizigo yao.