Soko la turkey na mayai ya kienyeji morogoro | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Soko la turkey na mayai ya kienyeji morogoro

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by 1800, Nov 6, 2011.

 1. 1800

  1800 JF-Expert Member

  #1
  Nov 6, 2011
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 2,217
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  wadau mimi nimepumzishwa kibarua sehemu niliyokua nawajibika,baada ya kufungua kesi na kushinda kesi hiyo,nimeamua kuachana na ajira kabisa,nasubiri nilipwe changu niwe mjasiliamali,sasa nilikua nataka niwekeze kwenye kuku wa kieneyeji,mayai yake na bata mzinga pia(turkey) hasa katika mkoa wa morogoro kwa vile tayari nina eneo la kutosha kule,naomba yeyeto mwenye taarifa juu ya soko la uhakika wa bidhaa tajwa hapo juu anisaidie ili nisije wekeza kwa kitu kisicho kua na maslahi...asanteni wadau
   
Loading...