Soko la Tunduma laungua tena

Mganga wa wakinga ni Mwakipande wa Makete na yule Manyoka au Kuku wa Tunduma

aisifiae mvua imemnyea,vipi nawe ni mfuasi wa hayo mauchafu?
Hata hivyo nawapa pole wote waliounguliwa na hayo maduka.
 
chanzo cha moto inasemekana ni shoti ya umeme kwani jana walikuwa wanakata na kuleta.pili tunawashukulu sana ndg zetu wazambia kwa msaada wa gari la zima moto pia na ndugu zetu wa mkoani hata kama gari imekuja kwa kuchelewa wametuonyesha ushilikiano wao.tunawapa pole sana wete walioathilika na janga la moto moja kwa moja.
 
hata sana na uchumi wetu wa kibongo ndio tena. Mungu awasaidie katika kipindi hiki cha upotevu wa mali za walala hoi
 
inasikitisha kama tunaweza kuwahujumu hata wananchi wenye kipato cha chini kwa maslahi ya kisiasa tumefika mbali sana
 
Aisee..na hali ya maisha ilivyokuwa ngumu namna hii,ukipoteza senti tano tu unatamani kuzimia.Poleni ndugu zetu huko Tunduma.
 
Back
Top Bottom