Soko la ngozi za ng'ombe

Soko la ngozi za ng'ombe

rommy shabby

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2017
Posts
1,122
Reaction score
1,313
Habari zenu wakuu, naomba kujua kwa Dar wapi nitapata soko zuri la kuuza ngozi ya ng'ombe na mifupa ya ng'ombe.

Naomba mwenye kujua anisaidie tafadhali. shukrani sana.
 
Habari zenu wakuu, naomba kujua kwa Dar wapi nitapata soko zuri la kuuza ngozi ya ng'ombe na mifupa ya ng'ombe.

Naomba mwenye kujua anisaidie tafadhali. shukrani sana.
Mkuu unazo ngozi kiasi gani?
Zipo katika kiwango gani?
Unauza kwa bei gani?
Hayo maswali unaweza kunijibu hapa au ukipenda nijibu PM
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom