Soko la mashudu (sunflower cake) Dar es Salaam likoje? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Soko la mashudu (sunflower cake) Dar es Salaam likoje?

Discussion in 'Kilimo, Ufugaji na Uvuvi' started by Mponjoli, Jun 20, 2011.

 1. Mponjoli

  Mponjoli JF-Expert Member

  #1
  Jun 20, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 668
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  Habari wadau

  Mwezi huu katika kutembelea mradi wangu wa kilimo cha alizeti huko Rukwa nimeamua kuvuna na kukamua mafuta mwenyewe kuliko kuuza alizeti, kutokana na bei ya mafuta kuwa ya kuridhisha kwa sasa. Nimekwazika kidogo na bei ya mashudu huku Sumbawanga. Soko la mashudu Dar likoje? Kama kuna mtu ana info tafadhali tujulishane kuanzia bei, maeneo gani hasa naweza kupata wateja kwa Dar.

  Asanteni
   
 2. BornTown

  BornTown JF-Expert Member

  #2
  Jun 20, 2011
  Joined: May 7, 2008
  Messages: 1,716
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Ukija Dar utapata soko maana mashudu ya alizeti ni adimu kwa wafugaji,
   
 3. Mponjoli

  Mponjoli JF-Expert Member

  #3
  Jun 20, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 668
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  Asante BornTown.

  Wafugaji changamkieni hii kitu. Nina contacts nzuri na wakamuaji mafuta hapa Sumbawanga. Ninaweza nikawa naendelea kuwaletea Dar sababu mimi mwenyewe nafanya shughuli zangu zingine Dar es salam.
   
 4. ELNIN0

  ELNIN0 JF-Expert Member

  #4
  Jun 20, 2011
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 3,767
  Likes Received: 216
  Trophy Points: 160
  Niuzie mimi hata kama una Tani 10, bei ntakupa 450 kwa kilo - kazi kwako. Ila yawe mashudu meusi.
   
 5. ELNIN0

  ELNIN0 JF-Expert Member

  #5
  Jun 20, 2011
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 3,767
  Likes Received: 216
  Trophy Points: 160
  pia nisaidie kupata bei ya mahindi huko kwa gunia, nahitaji kwa kiasi kikubwa.
   
 6. Mponjoli

  Mponjoli JF-Expert Member

  #6
  Jun 20, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 668
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
   
 7. jnrs

  jnrs JF-Expert Member

  #7
  Nov 18, 2013
  Joined: Jul 31, 2013
  Messages: 294
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  mkuu nipe contact zako. nikutafute tufanye biashara
   
 8. jnrs

  jnrs JF-Expert Member

  #8
  Feb 15, 2014
  Joined: Jul 31, 2013
  Messages: 294
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  mkuu naomba contact zako ili tuwasiliane kuhusu soko la mashudu ya alizeti hapa dar.
   
 9. c

  chuvachok Member

  #9
  Feb 15, 2014
  Joined: Dec 7, 2013
  Messages: 74
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kama unayo meusi ya kutosha na uhakika wa upatikanaji nipe namba yako tuongee.
   
 10. jnrs

  jnrs JF-Expert Member

  #10
  Feb 17, 2014
  Joined: Jul 31, 2013
  Messages: 294
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  ntakuinbox basi mkuu
   
 11. S

  SAPO Member

  #11
  Feb 17, 2014
  Joined: Nov 19, 2012
  Messages: 14
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Naomba contact tuongee biashara ya mashudu
   
Loading...