Mku nimekulewa sana ila mbona kwa sasa dhahabu bei yake imepanda almost $1700 per ounce kwenye soko la dunia lakini kwa wachimbaji wadogo bei imeshuka sababu wansema ni huu ugonjwa CORONA sasa kama mahali inapopatikana kwa wingi bei c ingeshuka kwa kuwa masoko hayo ya dunia hayafikiki hasa Tz as an example