Tetesi: Soko kuu Morogoro kujengewa uzio

nguruka wa kig0ma

JF-Expert Member
Jan 16, 2020
2,946
2,929
Saalam?

Zipo tetesi kuwa manispaa ya Morogoro inataka kujenga uzio (ukuta) kufanya ivo no kuwanyima wananchi fursa ya kuongeza kuipato Chao kwa kuitumia soko hilo.

Kama ni kweli viongozi wa manispaa hiyo wanatakiwa wafikiria Mara mbili mbili.

Wananchi walikuwepo kabla ya soko jipya hakuna sababu ya kujenga uzio waacheni wananchi wafaidi matunda ya kazi yao

Asante.
 
Muulize huyo Mkurugenzi akipewa Ilala atazungushia Kariakoo uzio?
 
Huenda wanataka kuzungushia uzio ili waweke tozo ya kuingia sokoni.

Nchi hii kila kitu ni Tozo na faini siku hizi.

Hukuona mwenzio alilalamika choo cha Stendi kutoza Tsh. 500 akaambiwa kinyesi chake awe anakiacha nyumbani kwake?
 
Huenda wanataka kuzungushia uzio ili waweke tozo ya kuingia sokoni..

Nchi hii kila kitu ni Tozo na faini siku hizi..

Hukuona mwenzio alilalamika choo cha Stendi kutoza Tsh. 500 akaambiwa kinyesi chake awe anakiacha nyumbani kwake?
Hahahaha, haya bhana twende tu tutajua huko mbele
 
Saalam?

Zipo tetesi kuwa manispaa ya morogo inataka kujenga uzio(ukuta) kufanya ivo no kuwanyima wananchi fulsa ya kuongeza kuipato Chao kwa kuitumia soko hilo.

Kama ni kweli viongozi wa manispaa hiyo wanatakiwa wafikiria Mara mbili mbili.

Wananchi walikuwepo kabla ya soko jipya hakuna sababu ya kujenga uzio waacheni wananchi wafaidi matunda ya kazi yao

Asante,,,,,,
Hiyo ya kuzuia Raia ipo katika huo mpango... Ama ni fikra na mawazo yako tu...
 
Back
Top Bottom