Yanga wana vituko kweli[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ukisikia .......'kamati ya ufundi'...... ndo hii mzee wangu!
Hao watakuwa simba maana naona jezi nyekundu kwa mbali hapo
Usiendelee kabisa, mzuka wa kung'oa viti ushanipanda, nisije vunja viti hapa nilipo nikafukuzwa kazi.Halafu naona jezi nyekundu hapo..
Naogopa kuendelea....
umenikumbusha timu ya moro united merey aliwahi kununua kuku mmoja kwa sh. laki nneUkisikia .......'kamati ya ufundi'...... ndo hii mzee wangu!