Kurt godel
JF-Expert Member
- Jan 11, 2017
- 317
- 174
Masahihisho mkuu. CODE ni CODE hata ziwe nyingi.
Yaani ni vurugu zaidi. Humo kwenye kernel kuna codes kama 15 million.
SWALI NI HIZO CODES NA VISWICHI VYA ON NA OFF VINAELEWANA VIPI.
Wengi mliojibu hapa mmejibu kama hao jamaa wa Youtube. Mmejibu mkichukulia mimi sijui computer. Nina degree ya IT kwenye database.
Hili swali ninalouliza ni kama kuuliza Mungu kakaa wapi. Ni swali ambalo waliopo katika fani hii wanaweza kupata idea za kugundua kitu kipya.
Mkuu, kama ukikurupuka huwezi elewa mleta mada anachomaanisha.hahahahhha bro naomba nikushauri uache kusoma IT aisee maana ni aibu.Duuh yani umeshindwa hata kufungua pc na kuona kuwa ndani hamna maandishi yoyote katika mfumo wa maandishi ya karatasi bali ni cirucit na components.Ukashindwa kweli kutambuwa ya kwamba hzo components zinatumika kuwakilisha symbollically hzo herufi yani kwamba mtu akisema 1 ndani ni series ya on and off switches ?? Hahaha mungu bro ndo anafanya hvo vitu ahh hii ni aibu kwa It tanzania
Masahihisho mkuu. CODE ni CODE hata ziwe nyingi.
hahahahhha bro naomba nikushauri uache kusoma IT aisee maana ni aibu.Duuh yani umeshindwa hata kufungua pc na kuona kuwa ndani hamna maandishi yoyote katika mfumo wa maandishi ya karatasi bali ni cirucit na components.Ukashindwa kweli kutambuwa ya kwamba hzo components zinatumika kuwakilisha symbollically hzo herufi yani kwamba mtu akisema 1 ndani ni series ya on and off switches ?? Hahaha mungu bro ndo anafanya hvo vitu ahh hii ni aibu kwa It tanzania
Hahah Inawezekana asee...mwenyewe niliwahi kuzinguliwa forum fulan hivi..Mkuu hilo neno ni debatable. Kwenye lugha kuna code na codes, kwenye programming wanazinguana kama ulivyonizingua wewe.
Back to serious issues. Unapochapa code yako. Inabadilshwa kuwa 0 na 1 kwa kutumia hii table
Kila zero ni switch off na kila 1 ni switch on.
Naweza kusema designers ndio wameplani hizo switch zizime na kuwaka kulingana na hiyo table na code itakayochapwa. Utake usitake hapa kuna elimu ya watengeneza CPU ambayo haijulikani na wachapaji code.
Lakini bado uchawi upo kwenye maandishi (code) kwenda kuzima na kuwasha viswichi ndani ya computer hatimaye process hiyo ifanye kazi anazotaka programmer.
Hueleweki!!!Wakuu naelekea kujijibu swali langu mwenyewe ni jinsi gani software na hardware zinakutana. Nikikosea nisahihisheni.
Code au program kwa lugha ya mtaani ninayoelewa mimi ni formula ya kuzima na kuwasha viswichi vya computer.
Ukiandika a viswichi vinazimwa na kuwashwa kwa mtindo huu 01000001.
Kila zero ni off, kila moja ni 1.
Contact ya hadware na software inapatikana kwenye current za umeme zinazokuja kwenye keyboard na touch screen.
Software compatibility ni kukubaliana kwa architecture ya computer na ya program iliyoandikwa.
Bingo! Mtu angenijibu hivyo ningeelewa siku nyingi.
Ila ujinga unabaki kwenye kuzima viswichi vya umeme kwa mpangilio fulani halafu computer irikodi audio na video ya Magufuli????????????!
Hueleweki!!!
Sijajua kama kwenye programmes zenu mlisoma hii kitu Digital Systems, mambo ya Logic gates, Sequential & combinational circuits, vinaelezea hatua za awali kabisa jinsi hizo memory zinavyoundwa na ufanyaji wake wa kazi, vitu kama counters, registers, bila shaka mlisoma.Wakuu naelekea kujijibu swali langu mwenyewe ni jinsi gani software na hardware zinakutana. Nikikosea nisahihisheni.
Code au program kwa lugha ya mtaani ninayoelewa mimi ni formula ya kuzima na kuwasha viswichi vya computer.
Ukiandika a viswichi vinazimwa na kuwashwa kwa mtindo huu 01000001.
Kila zero ni off, kila moja ni 1.
Contact ya hadware na software inapatikana kwenye current za umeme zinazokuja kwenye keyboard na touch screen.
Software compatibility ni kukubaliana kwa architecture ya computer na ya program iliyoandikwa.
Bingo! Mtu angenijibu hivyo ningeelewa siku nyingi.
Ila ujinga unabaki kwenye kuzima viswichi vya umeme kwa mpangilio fulani halafu computer irikodi audio na video ya Magufuli????????????!
Hueleweki!!!
Majibu kama haya uwa yananichekesha sana na kunifurahishanijuavyo mimi...computer imetengenezwa kwa kutumia sample ya mwili wa binadamu ulivyo....hiyo software ndio damu kwa mwanadamu, kwahio km unajua jinsi mwili wa mwanadamu unavyofanya kazi hakuna tofauti sna na computer ilivyotengenezwa...karibu kwa maswali mengine...
Operating System nayo ni software mkuuKinachounganisha software na hardware ni Operating system.
Sijajua kama kwenye programmes zenu mlisoma hii kitu Digital Systems, mambo ya Logic gates, Sequential & combinational circuits, vinaelezea hatua za awali kabisa jinsi hizo memory zinavyoundwa na ufanyaji wake wa kazi, vitu kama counters, registers, bila shaka mlisoma.
Ukirudi nyuma kwenye hii nyuzi umekiri maelezo mengi uliyopata hayajakuridhisha na yameelezwa kirahisi rahisi, ukisema ufanye briefing kwenye mambo ya Microprocessor, microcontrollers na Digital systems kwa ujumla utaishia kumwambia mtu 0s & 1s basi pasi na hapo hamtaelewana.Mkuu usichukulie kila mtu hapa ana elimu uliyo nayo wewe. Wewe mwaga mtama tu kwenye kuku wengi wabongo waelemike. Usomi ni pamoja na kuweza kuelezea kitu kwa lugha ya kawaida kila mtu akaelewa.
Ukirudi nyuma kwenye hii nyuzi umekiri maelezo mengi uliyopata hayajakuridhisha na yameelezwa kirahisi rahisi, ukisema ufanye briefing kwenye mambo ya Microprocessor, microcontrollers na Digital systems kwa ujumla utaishia kumwambia mtu 0s & 1s basi pasi na hapo hamtaelewana.