Sofa nzuri, Imara kwa bei ya wastani

Malikauli

Senior Member
Mar 3, 2012
147
113
Za asubuhi ya leo Waungwana,natafuta sofa imara na comfortable hapa DSM kwa reasonable price (something btn 1 to 1.5 M) kwa wenye uzoefu tuelekezane kwa kwenda Natanguliza shukrani.
 
Bei ni nafuu sana,tembelea ofisini kwetu sinza katikati ya kwa remmy na makaburini.
 

Attachments

  • 1387523760439.jpg
    128.5 KB · Views: 441
  • 1387523797262.jpg
    80.4 KB · Views: 472
  • 1387523822254.jpg
    80 KB · Views: 372
  • 1387523856751.jpg
    60.4 KB · Views: 343
  • 1387523886900.jpg
    80 KB · Views: 535
Mambo vp? kuna sofa niliona Ledger plaza Bahari Beach Hotel, kaangalie kma unaweza kunitengenezea uni PM

Sasa hata kama mteja ni mfalme hapo umepitiliza,yaani sofa utake wewe ,fundi aende kwenye hotel Bahari Beach akaangalie halafu ndio akupigie simu,kwani hayo yote usiyafanye mwenyewe,kwani fundiatajuaje kama aina hiyo ya sofandiounayoitaka kwani pale kuna sofa aina nyingi ati
 
Kwani wewe fundi??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…