Karibu hapa sinza kwa remmy au piga simu 0719807113 au email isackraphael@gmail.com
Karibu
Mambo vp? kuna sofa niliona Ledger plaza Bahari Beach Hotel, kaangalie kma unaweza kunitengenezea uni PM
Kwani wewe fundi??Sasa hata kama mteja ni mfalme hapo umepitiliza,yaani sofa utake wewe ,fundi aende kwenye hotel Bahari Beach akaangalie halafu ndio akupigie simu,kwani hayo yote usiyafanye mwenyewe,kwani fundiatajuaje kama aina hiyo ya sofandiounayoitaka kwani pale kuna sofa aina nyingi ati