Nadhani wizara husika ya viwanda na Biashara ilitazame hili kwa makini sana maana Jana soda za chupa zilikuwa zinauzwa 600 mpaka 700 kwa soda ya ml 350 wakati Pombe na vinywaji vingi vya alcohol Bei haikubadilika....Hili linànipa mashaka sana unaweza ukawa Mpango mkakati wa kupandisha Bei ya sukari kwa kutumia bidhaa zinazonunulika sana kwenye Jamii zetu Kama hizi Soft drinks ...... Mfano badala ya watu kunywa soft drinks wataelekea kutengeneza natural juice na Demand ya sukari ikiwa kubwa upungufu wa sukari utaongezeka watakuwa wamehit the target... itakuwa imeisha hiyo...