Wataingiaje kwenye ushindani alafu wapunguze ubora?Ile radha yake imepotea kabisa, ni kama vile wameingia kwenye ushindani hivyo wamepunguza ubora
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Wataingiaje kwenye ushindani alafu wapunguze ubora?Ile radha yake imepotea kabisa, ni kama vile wameingia kwenye ushindani hivyo wamepunguza ubora
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Hivi kuna tofauti kati ya coca diet na coca zero?Unazungumzia Coca cola zipi? Coca diet, Coca zero au regular Coca?
Na Fanta unaongelea Fanta IPI? Fanta orange? Fanta passion? Fanta tropical? Au ipi?
Be specific.
Supu mzee na maji baridi mengi...Hang over za pombe asubuhi unatowa na nini?
Kuna matatizo kwenye hiyo kampuniHii inaenda kwa mkemia mkuu wa serikali. Na nitaianzishia uzi
kwanini soda za fanta orange zinaacha alama za unjano/orange kwenye ulimi tofauti na fanta za zamani?
mnawanywesha nini watanzani? Mamlaka hazijabaini hilo?
soda kama umelamba food color!!!
Rudi shule utaelewa kuwa kwa sasa watu wanauza wingi kuliko uboraWataingiaje kwenye ushindani alafu wapunguze ubora?
maji vuguvuguHang over za pombe asubuhi unatowa na nini?
Competition ni kubwa hawana nguvu ya kukimbizana na mahitaji ya soko kama awaliToka afe Mengi Coca-Bonite zimekuwa adimu baadhi ya sehemu, na maji ya kilimanjaro yamekuwa hayapatikani, siku hizi karibu kila duka au bar ukienda wanasema hawana maji ya kilimanjaro
tatizo bei yake ipo juu kidogo ila maji ya kilimanjaro ni quality sana ukinywa unahisi umekunywa maji kwelikweli kwakua p.H yake ni 7 ila maji ya makumpuni mengine yanakuwa na p.h < OR > 7 hivyo yanakua nakauchungu flani hivi kwambali sana unakahisi sema wanapata wateja kwakua wanaweka maji mengi halafu wanashusha beiMaji yapo sema kapuni shindani za maji zimekua nyingi sn siku hizi
Kwamba demand imekuwa kubwa au?Competition ni kubwa hawana nguvu ya kukimbizana na mahitaji ya soko kama awali
Kuhusu suala la rangi usisahau kuambatanisha na sample ya mirinda nyeusi maana hii inakua kero mdomoni. Inaitwa mirinda nyeusi lakini mdomoni inaonekana rangi nyekunduHii inaenda kwa mkemia mkuu wa serikali. Na nitaianzishia uzi
kwanini soda za fanta orange zinaacha alama za unjano/orange kwenye ulimi tofauti na fanta za zamani?
K
mnawanywesha nini watanzani? Mamlaka hazijabaini hilo?
soda kama umelamba food color!!!
No uzalishaji ni mdogo kwasasa inakua ngumu bidhaa kuwafikia wahitaji kwa wakati. Bei pia sio rafiki kama makampuni mengine ya maji.
Wewe una ugomvi na coca sio bureCoca cola yenyewe mbovu sana. Unaweza kuta ina mchanganyiko wa sparlleta,passion,fanta orange ili mradi vurugu tupu ndani ya soda moja
Wauza soda kuna muda tunaonekana mbinu juz kat nimechukua crate kadhaa nafka shop nakuta zmelegea vifuniko yaan unaweza fungua kwa mkono tuCoca nowdays wana 500Ml najua ni Pepsi tu, Anyway Coca ya sikuhizi hapana kwakweli wanazingua
Rudi shule utaelewa kuwa kwa sasa watu wanauza wingi kuliko ubora
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile ap
Nilijua mdomo wangu umepoteza radha kila Fanta nayokunywa siielewi adi nikaamua kuachana nazoFanta inanoga kama zile Fanta za Zambia niliwahi iacha sehemu nikidhani imeharibika nikaja kujaribu maeneo mengine nikakutana na radha kama ile niliyoiacha nikagundua hawa ni tatizo ingawaje nakunywa soda mara chache sana ila hizo Fanta hazipo sawa kabisa...