Soda za Coca Cola haziko sawa

Hii inaenda kwa mkemia mkuu wa serikali. Na nitaianzishia uzi

kwanini soda za fanta orange zinaacha alama za unjano/orange kwenye ulimi tofauti na fanta za zamani?

mnawanywesha nini watanzani? Mamlaka hazijabaini hilo?

soda kama umelamba food color!!!
 
Toka afe Mengi Coca-Bonite zimekuwa adimu baadhi ya sehemu, na maji ya kilimanjaro yamekuwa hayapatikani, siku hizi karibu kila duka au bar ukienda wanasema hawana maji ya kilimanjaro
Maji yapo sema kapuni shindani za maji zimekua nyingi sn siku hizi
 
Fanta inanoga kama zile Fanta za Zambia niliwahi iacha sehemu nikidhani imeharibika nikaja kujaribu maeneo mengine nikakutana na radha kama ile niliyoiacha nikagundua hawa ni tatizo ingawaje nakunywa soda mara chache sana ila hizo Fanta hazipo sawa kabisa...
 
Kwa watumiaji wa vinywaji vya kampuni ya Coca Cola Kwanza, hivi karibuni soda zao zina walakini.
Soda hazina gesi kabisa, hii inasababisha tuhisi ni soda feki.

Coca Cola tusaidieni watumiaji wa vinywaji vyenu maana soda zenu zinakera sana.

Soda za Fanta huwa zinakuwa mbaya ni kama unakunywa damu

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Unazungumzia Coca cola zipi? Coca diet, Coca zero au regular Coca?

Na Fanta unaongelea Fanta IPI? Fanta orange? Fanta passion? Fanta tropical? Au ipi?

Be specific.
 
Maji yapo sema kapuni shindani za maji zimekua nyingi sn siku hizi
Mkuu, mbona hata zamani kampuni ya jambo ilikuwepo, sasa hivi kanda ya ziwa maji yaliyo mengi ni jambo ndio zinakuja kampuni nyingine, kilimanjaro haikupaswa kuwa adimu
 
Back
Top Bottom