Soda tunazokunywa majanga

Soda tunazokunywa majanga

mlekulechoma

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2014
Posts
1,366
Reaction score
1,059
Fanta passion zinazotengenezwa kampuni ya coca cola usafi wake unatia shaka, nikiwa kanda ya ziwa, Sengerema mjini, baa moja hivi jirani na hospitali ya wilaya. Niliagiza fanta pasion bariiidiiii, kabla ya mhudumu kuifungua nikaona uchafu ndani kama picha inavyoonekana. Nawaomba watengenezaji wa vinywaji hivi chondechonde wazingatie afya za watumiaji. Mtatuua jamani
 
Attachments

  • 1421294470191.jpg
    1421294470191.jpg
    31.8 KB · Views: 2,067
  • 1421295514736.jpg
    1421295514736.jpg
    39.6 KB · Views: 1,924
fanta pasion..zinazotengenezwa kampuni ya coca cola usafi wake unatia shaka....nikiwa kanda ya ziwa....sengerema mjini...baa moja hiv jirani na hospitali ya wilaya...niliagiza fanta pasion bariiidiiii....kabla ya mhudumu kuifungua...nikaona uchafu ndani kama picha inavyoonekana.....nawaomba watengenezaji wa vinywaji hivi chondechonde wazingatie afya za watumiaji....mtatuua jamani
Pole sana ndugu yangu. Kwa upande wangu mimi hapa kwa haraka haraka nimebaini jambo moja, ambalo ndilo la msingi zaidi. Kwa muonekano wa huyo muhudumu na hilo eneo ni zuri sana. Muhudumu yupo bomba sana, cheaper, Mrembo. Inaelekea hapo panafaa kutembelewa ili kupata moja moto moja baridi. Unaweza kutusaidia jina la hiyo bar na location ilipo?
 
Mbona kampuni ya COCA-COLA wapo makini sana!Uchafu wote huo?!
 
Samahani kama ntakuuzi huyo dada kweli alijua kuwa unapiga picha soda nae anatokea katika picha na anajua kuwa umeweka hapa?

Back to the topic soda zina majanga mengi ukute vitu vilotengezewa ni hatar kwa afya kuliko huo uchafu....

Pole sana
 
hiyo picha ya pili sijaona uchafu
 
Nikweli usafi ni zilo hata mimi niliwahi kukutana nauchafu

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Mbona kampuni ya COCA-COLA wapo makini sana!Uchafu wote huo?!

hawana umakini jana nimenunua sprite ndani ilikuwa na wadudu wamekufa yaani kidogo nitapike inaonekana chupa wanazokusanya huwa hawazisafishi.
 
wewe utakuwa ulikuwa una pesa ya kulipa soda ukaweka uchafu .soda moja umekuta ina uchafu unakuja kuandika humu JF siyo kweli.
 
hawana umakini jana nimenunua sprite ndani ilikuwa na wadudu wamekufa yaani kidogo nitapike inaonekana chupa wanazokusanya huwa hawazisafishi.

weka picha acha umbea huu uchafu mnaweka wenyewe.
 
Pole sana ndugu yangu. Kwa upande wangu mimi hapa kwa haraka haraka nimebaini jambo moja, ambalo ndilo la msingi zaidi. Kwa muonekano wa huyo muhudumu na hilo eneo ni zuri sana. Muhudumu yupo bomba sana, cheaper, Mrembo. Inaelekea hapo panafaa kutembelewa ili kupata moja moto moja baridi. Unaweza kutusaidia jina la hiyo bar na location ilipo?

Wazinzi utawafahamu tu.
 
Back
Top Bottom