NullPointer
JF-Expert Member
- Feb 7, 2011
- 3,461
- 2,275
Pole sana ndugu yangu. Kwa upande wangu mimi hapa kwa haraka haraka nimebaini jambo moja, ambalo ndilo la msingi zaidi. Kwa muonekano wa huyo muhudumu na hilo eneo ni zuri sana. Muhudumu yupo bomba sana, cheaper, Mrembo. Inaelekea hapo panafaa kutembelewa ili kupata moja moto moja baridi. Unaweza kutusaidia jina la hiyo bar na location ilipo?
Lol! mkuu huyo mhudumu unamuona yuko hot?? Kweli beauty ni just perception! kila mtu anapercieve tofauti