Soda ni Sumu; Je, TFDA wanafanya nini?

Soda ni Sumu; Je, TFDA wanafanya nini?

Acheni upuuzi ingekuwa sumu matumbo yangekuwa yamechanika na makoromeo yametoboka ,ukitaka I we hivyo usipsnde Gari,usinywe /kula chochote cha kusindikwa kiwandani Hata maji sasa sijui utaishi dunia gani maana Hata nguo ulizovaaa naxo zina sumu
 
Mtoa mada mwenyewe atakua saiv anajuta kuandika huu uzi
 
acha nifurah tu.
Samahan mkuu kuna mtu unamjua ameshakufa kwa sababu ya soda.?
Ingia kwenye youtube utapata hiyo link inayo ongelea kuwa soda ni sumu na alikuwa anahojiwa raisi wa cocacola europe akawa hana lakujibu lakini ni kweli soda ni sumu...chupa moja ya soda mnayo kunywa ina zaidi ya vijiko 23 vya sukari na mengine mengi yanayo wauwa tatatibu
 
Vijwaji vyote vyenye sukari isiyo matunda halisi ni sumu, kinywaji salama ni MAJI TU.
 
Kama unaiachia serikali au taasisi fulani kulinda afya yako hususani kwenye vinywaji na chakula utasubiri sana.

Afya yako ni jukumu lako. Jihabarishe halafu chukua uamuzi sahihi. Vyakula gani vinafaa kula, vinywaji vyakuepuka nk.

Jiepusha kutumia funk food.....hivi vyakula si salama.

Nikiongezea hapo.

Kipindi fulani nilitembelea mashamba ya vitunguu ile dawa wanayopulizia only Jah knows....ni sumu hatari na ninauhakika inabaki kwenye vitunguu na watu wanatumia nyumbani.

Wakati naondoka a friend offered a bag of onions. I didn't take it. Sumu tupu.

Sasa hivi napanda veggies mwenyewe.

Growing your own food is like printing your own money.
 
Ingia kwenye youtube utapata hiyo link inayo ongelea kuwa soda ni sumu na alikuwa anahojiwa raisi wa cocacola europe akawa hana lakujibu lakini ni kweli soda ni sumu...chupa moja ya soda mnayo kunywa ina zaidi ya vijiko 23 vya sukari na mengine mengi yanayo wauwa tatatibu
Nipe ufafanuzi hapo kwenye vijiko vya sukari
 
Tuwekee scientific facts, acha kuongozwa na hisia na empty rhetorics.
 
Kuna mtu amewahi kukojoa mkojo rangi sawa na ile ya soda aliyokunwa?
 
Mleta mada ungesema wasabato wanasema soda ni sumu
 
Ingia kwenye youtube utapata hiyo link inayo ongelea kuwa soda ni sumu na alikuwa anahojiwa raisi wa cocacola europe akawa hana lakujibu lakini ni kweli soda ni sumu...chupa moja ya soda mnayo kunywa ina zaidi ya vijiko 23 vya sukari na mengine mengi yanayo wauwa tatatibu
Hivi huu ni mwaka wa ngapi natumia soda.

Hizi video za youtube siku hizi zimekua shida.

Wekahapa link ya articles kutoka web zinaaminika

Niseme tu side effects zipo ila sio kwa extent ambayo wabongo tunazua
 
Back
Top Bottom