Soda ni Sumu; Je, TFDA wanafanya nini?

Soda ni Sumu; Je, TFDA wanafanya nini?

Kuna soda zinaitwa MO Passion and MO Orange nasikia zimepigwa Marufuku kuuzwa kutokana na kuwa na ubora wa chini na kuwa na sukari ina kemikali nayozidi kiwango
 
Kuna soda zinaitwa MO Passion and MO Orange nasikia zimepigwa Marufuku kuuzwa kutokana na kuwa na ubora wa chini na kuwa na sukari ina kemikali nayozidi kiwango
 
Habari zenu ndugu zangu

Niende moja kwa moja kwenye dukuduku langu... ni kuhusu kinywaji cha (aina ya) soda ambacho wataalamu wengi wa afya (kama sio wote) wamekifafanua sana kwamba ni hatari kwa afya na ni sumu inayoua polepole.

Sasa cha ajabu ni kwamba hapa kwetu (nchini) kinywaji hiki kimekuwa kikitumiwa (kuuzwa na kunywewa) bila hata ya tahadhari wala miongozo yoyote.

Cha ajabu zaidi na kushangaza kama sio kusikitisha ni pale ambapo Mkuu wa kitengo kinachohusika na maswala hayo (ya vyakula na madawa) yaani TFDA alipoulizwa kuhusu jambo hilo na akatoa majibu mepesi na hoja tepetepe kabisa.
>>>alijibu soda sio kinywaji hatari kwakuwa kinatumiwa na watu wengi duniani.

Wananchi huwa tunapokea maelekezo kwa wataalam kutoka mamlaka husika Sasa je kwa hali hii tutategemea tuna mamlaka imara ya kutulinda wananchi kweli dhidi ya afya zetu?, mana hiyo ni soda tu je na vingine (ambavyo huenda tunatumia na wao wapo kimya)

Nimeshindwa kuweka link hapo lakini nimesoma kwenye Muungwana anayeweza anisaidie tafadhali
Soda ni sumu unamanisha nn mkuu?
 
Kuna soda zinaitwa MO Passion and MO Orange nasikia zimepigwa Marufuku kuuzwa kutokana na kuwa na ubora wa chini na kuwa na sukari ina kemikali nayozidi kiwango
Nani amekuambia..au maneno ya vijiweni
 
Aisee upo nyuma kweli,kwa aina ya maswali unayouliza,
Ulipaswa kuuliza ni vitu gani ndani ya soda vinaifanya kuwa sumu,na vinaudhuru mwili kivipi tena kwa ushahidi wa kisayansi,
Siyo hilo swali za vijiweni ulilouliza,
Mbona hukuweka hayo maelezo hapa. Hizo majaribio zenu za kunyapia nyapia youtube. Haya tuuzie dawa.
 
soda ni sumu inayoua taratibu sawa
kwani nani anataka kufa haraka ?

wanaotaka kufa haraka watakunywa sumu ya panya ila sisi ambao hatutaki kufa haraka tutakunywa soda
aiseeee
 
Uamuzi ni wako peke yako. Ukiona roho inakusuta kuwa ni sumu basi ukinywa utakufa haraka. So Kama dhamira yako haikuongozi kunywa si uache tuu? Binafsi nimeimudu kuacha bila kushauriana na MTU. Niliona utumwa maana kila msosi nililazimika kunywa na soda.
 
Back
Top Bottom