YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,900
- 52,036
Msabato unampeleka kuwa mtaalam TFDA kwa kuwa kasoma vitabu vya Hellen white ambavyo hakuna hata kimoja kinatumika medical schoolHa ha ha, we jamaa unastahili kuwa mtalaamu pale TFDA
Msabato unampeleka kuwa mtaalam TFDA kwa kuwa kasoma vitabu vya Hellen white ambavyo hakuna hata kimoja kinatumika medical schoolHa ha ha, we jamaa unastahili kuwa mtalaamu pale TFDA
Uarabu IPI unayoongea kusiko na soda? Kule ziko hadi Pepsi za vending machines acha uongo huo uongo alikufunfisha nani?nchi za kiarabu ndio wanajua madhara ya SODA vizuri, huku ukiwaambia watu watakuona mwehu tu....
Nimechaka mpaka basi, we jamaa cartoon sana.soda ni sumu inayoua taratibu sawa
kwani nani anataka kufa haraka ?
wanaotaka kufa haraka watakunywa sumu ya panya ila sisi ambao hatutaki kufa haraka tutakunywa soda
Acha uongo kule kuna maviwanda makubwa ya soda na wanywa sana.Google andika Pepsi Saudi Arabia uone huo uongo uliokubuhu.Huo uongo mnaofundishana Ndani ya makanisa ya sabato bila uthibitisho mtapotea.MTU anaibuka tu waarabu hawanywi soda watu wanaitika ameeeni.Aisee poleninchi za kiarabu ndio wanajua madhara ya SODA vizuri, huku ukiwaambia watu watakuona mwehu tu....
Wewe ndo mwongo mkubwa. Kwani ni nani aliyesema Uarabuni hawanywi soda au hakuna hivyo viwanda vya soda?Acha uongo kule kuna maviwanda makubwa ya soda na wanywa sana.Google andika Pepsi Saudi Arabia uone huo uongo uliokubuhu.Huo uongo mnaofundishana Ndani ya makanisa ya sabato bila uthibitisho mtapotea.MTU anaibuka tu waarabu hawanywi soda watu wanaitika ameeeni.Aisee poleni