Kim Jong Jr
JF-Expert Member
- Mar 15, 2014
- 11,571
- 21,533
Duuuh ukute una degree na unajiita msomi halafu unajiuliza swali hiliacha nifurah tu.
Samahan mkuu kuna mtu unamjua ameshakufa kwa sababu ya soda.?
Duuuh ukute una degree na unajiita msomi halafu unajiuliza swali hiliacha nifurah tu.
Samahan mkuu kuna mtu unamjua ameshakufa kwa sababu ya soda.?
HahahahahahahahhKuna vitu vingine mtu unajiongeza mwenyewe. Siku hizi karibia kila kitu ni sumu na inaleta effect baadae. Assume tuchukulie sirias kila kitu.
Mfano mimi nina mwaka sasa toka nimeacha kunywa soda aina yoyote ile. Ila sasa napiga kitimoto kama sina akili. Yale mafuta yake vip.? Huyu kaacha sigara lakini pombe anakunywa.
Ndio maisha yetu haya.
Sawa kabisaaMkuu,
Hakuna akulazimishaye kunywa soda.
Ukitambua kuwa soda ni sumu acha kunywa.
Just take a decision which is simple and clear.
soda ni sumu inayoua taratibu sawa
kwani nani anataka kufa haraka ?
wanaotaka kufa haraka watakunywa sumu ya panya ila sisi ambao hatutaki kufa haraka tutakunywa soda
ww jamaa weka mbali na watoto!!!Mgonjwa sukar ikishuka kama hakuna ulazima wa drip huwa anashauriwa kupata at least kinywaji cha soda, inasaidiaAma punguza kabisa unywaji,
Sijaskia mgonjwa akishauriwa kunywa soda kwa tatizo lake ila nimeskia akishauriwa kiacha kabisa soda,
Soda ni hatari kwa afya zaidi hata ya pombe
Wewe usiejiuliza mbona hukutoa maelezo yoyote ? Basi nielekezeDuuuh ukute una degree na unajiita msomi halafu unajiuliza swali hili
Wewe utakuwa m7toHabari zenu ndugu zangu
Niende moja kwa moja kwenye dukuduku langu... ni kuhusu kinywaji cha (aina ya) soda ambacho wataalamu wengi wa afya (kama sio wote) wamekifafanua sana kwamba ni hatari kwa afya na ni sumu inayoua polepole.
Sasa cha ajabu ni kwamba hapa kwetu (nchini) kinywaji hiki kimekuwa kikitumiwa (kuuzwa na kunywewa) bila hata ya tahadhari wala miongozo yoyote.
Cha ajabu zaidi na kushangaza kama sio kusikitisha ni pale ambapo Mkuu wa kitengo kinachohusika na maswala hayo (ya vyakula na madawa) yaani TFDA alipoulizwa kuhusu jambo hilo na akatoa majibu mepesi na hoja tepetepe kabisa.
>>>alijibu soda sio kinywaji hatari kwakuwa kinatumiwa na watu wengi duniani.
Wananchi huwa tunapokea maelekezo kwa wataalam kutoka mamlaka husika Sasa je kwa hali hii tutategemea tuna mamlaka imara ya kutulinda wananchi kweli dhidi ya afya zetu?, mana hiyo ni soda tu je na vingine (ambavyo huenda tunatumia na wao wapo kimya)
Nimeshindwa kuweka link hapo lakini nimesoma kwenye Muungwana anayeweza anisaidie tafadhali
HAPANA MKUU!!Ukiendekeza soda unapata kisukari na mwisho wa kisukari ni kifo.
Sawa ila kujielimisha si kunataka muelimishaji, au utaoteshwa kama manabii.Kuna mambo mengine sio mpaka serikali ase, wewe mwananchi wa kawaida unatakiwa kujielimisha na kuchukua hatua
Nimeshindwa kuweka link hapo lakini nimesoma kwenye Muungwana anayeweza anisaidie tafadhali
Live the coke side of life.ha ha ha ha ha ha"U have coke u have a smile."
Mada zingine ni pumba sasa anataka TFDA watoe tamko kuzuia utengenezaji wa soda?.. Kuna vitu vingine ni kujiongeza tu kama msomi.wakuu msipuuzie,ukishapatwa na kisukari ndio mtamkumbuka huyu mtoa mada...
Neno sumu ni dhana pana kuelezea hapa sitaweza na kuhusu tafiti juu ya soda kuwa sumu sijafanya utafiti wa kitaalam huo unaoutaka kwakuwa mimi sio mtaalam lakini zipo tafiti nyingi ila nimeshindwa kuweka link hapaMkuu naomba maana ya sumu ikiambatana na mifano ya kipi ni sumu na kipi sio sumu
Based na hiyo maana utakayoitoa,naomba utuletee utafiti unaoonesha kuwa soda ni sumu