Soda ni Sumu; Je, TFDA wanafanya nini?

Soda ni Sumu; Je, TFDA wanafanya nini?

Soda sumu kasema nani? Huwa nacheka sana nikiona watu wakionesha kuwa soda sumu na hasa coca kwa kuonesha jinsi gani inavokosha masufuria na kuondoa kutu. Watu wanachoshindwa kufahamu kuwa ni kila kitu kina react according to mazingira. Mazingira ya kuoshewa sufuria sio sawa na yaliopo ndani ya tumbo. Mwili wa binaadamu sio sufuria kwa sababu mwili wa binaadamu unafanya kazi kila wakati na una jiadjust na pia una ulinizi.

Kila kitu kikizidi ziada katika mwili kinageuka kuwa sumu mwilini lakini haimaniishi kama icho kitu ni sumu. Hata Asali ukinywa chupa nzima apo apo utaipata habari yake.
 
Mkuu, Asante kwa video Ulioipost. Kuna mambo ambayo nimeya note nataka kuyazungumzia:

- Sukari kwenye Vitu (coca, maziwa etc)
- Na suala la Junk foods ambalo limezungumziwa na Author wa fast food and mtoto mwisho wa clip.
- Na genetically Modified products.

Sukari Kwenye Vitu - Coca Cola, maziwa etc

Watu wamekuwa wapotoshaji sana katika suala zima la sukari. Nnavojua mimi sukari inatoka kwenye miwa, na hii inatosha kusema kuwa sukari ni natural substance, sio kwamba ni artificial, although ni muwa ambao umekuwa processed mpaka ikapatikana sukari. Sukari huwa inaleta ladha ya utamu.Na sukari ni muhimu kwa mwili wa binaadamu.

Sukari ni Carbohydrate. Unapokunywa mfano soda, ile sukari inabadilishwa na kugeuzwa kuwa energy au inahifadhiwa as fat for later use. Pale unapokaa na njaa mda mrefu sasa hizi fats zinafanya kazi yake. So ikiwa chupa moja ya coca ina sukari sawa na vijiko 30 vya chai, kwanini unywe yote ikiwa kwa siku upate angalau vijiko 9 vya sukari? Over consumption ndio tatizo la watu. Sukari hii iliokuwa processed inakupa sugar rush, craving for more. But as long as you balance it, haiwi tatizo.

Digestion System inafanya kazi yake. Mwili wa binaadamu ni kitu chengine kabisa, unafanya kazi yake vizuri ikiwa kila kitu kitakuwa balanced tu.

Too much of something is Harmful. Hata asali, chukua chupa halafu ibwiye yote apo apo kisha tuletee mrejesho...

Junk Foods/Fast Foods

Hapa ndio nnapowashangaa watu.

Burger ingredients zake ni nini?

Mkate, nyama, na some vegetables. Sasa vipi are we posioned?

Kuna time katika katika ya video kuna notice inazungumzia kuwa ndio maana dua zetu hazijibiwi.

Mkuu, mimi ni muislam. Lakini nikufundishe kitu, Mungu hamhukumu mtu kwa kitu asichokijua. Kwa mfano, sisi kila siku tunanunua nyama buchani tukiamini kuwa ni halali, lakini hatuwezi kuthibitisha sisi wanunuaji kwa sababu hatuchinji wenyewe, tunachinjiwa machinjioni na pia hatuendi uko machinjioni. Kwaio kama unanunua nyama buchani na umeambiwa halal wakati kumbe sio na wewe hujui, basi dhambi atazibeba muuzaji sio wewe mnunuaji. Dhambi za imamu hazibatilishi sala za maamuma. Ikiwa umekwenda supermarket, umekuta nyama imeandikwa halal na nyengine haijaandikwa basi na ukachagua ilokuwa haijaandikwa hapo utakuwa umekosea kweli. Ikiwa dua zako hazijibiwi try to assess yourself again.

Genetically modified food products

Hii ndio kitu pekee naweza kusema kuwa kweli inaweza kuwa sumu. Kama mfato aloutolea mtoto fish tomato, kufikiria tu samaki apo apo ana ladha ya tungule na usamaki basi unaanza kuona kichefu chefu.

Hapa kuna ile mtu ale ajiskie ashibe, lakini nothing to build your body.
 
soda ni sumu inayoua taratibu sawa
kwani nani anataka kufa haraka ?

wanaotaka kufa haraka watakunywa sumu ya panya ila sisi ambao hatutaki kufa haraka tutakunywa soda
Ha ha ha, we jamaa unastahili kuwa mtalaamu pale TFDA
 
Duh kweli tuna safari ndefu.... utaniambia hata pombe ni nzuri kwa sababu ingredient yake ni sukari
 
soda zinanywewa dunia nzima. hivyo TFDA mnaionea tu. kimsingi kila kitu kisipotumiwa kwa kiwango stahiki ni sumu. Soda za kampuni ya coca cola na pepsi zinatumiwa dunia nzima. Tumia kistaarabu, tumia kwa kiasi.
 
Kama wewe unafahamu soda ni sumu usinywe kwa faida yako....
Wenzako tushaachana na Kunywa soda kitambo sana.....
Lkn huwezi kuwashawishi wengine kutokunywa
Hata hao TFDA ndy wanywaji wazuri wa soda hiyo

Ova
 
Duh kweli tuna safari ndefu.... utaniambia hata pombe ni nzuri kwa sababu ingredient yake ni sukari

Coca Cola Ingredients.

Carbonated water - Sio Sumu.
Sugar sio Sumu,
Caramel 150d - Sio sumu
Phosphoric acid - Sio sumu, mwili unahitaji phosphorus na kilichokuwemo kwenye coca ni safe amount.
Natural flavouring - Sio Sumu
Flavouring Caffeine - Sio sumu....

nimekutajia hizo ingredient za coca... Pombe ndio ingredient zake hizo?

Sasa nawashangaa mkisema soda kama hii ni sumu.... usumu wake uko wapi?
 
Hiki kimekuwa kitendawili sababu ya kuwa kimya wajomba wa TFDA ni kuwa imeonekana wazalishaji wa soda ni walipaji wazuri wa kodi mwishooò usihoji sana why wasikanushe hata kukanusha kwamba aidha taarifa ni za kweli au tuzipuuze
 
Hakuna ntu inayonganganizwa kunya soda.ndo maana mimi nakunya juisi ya kutengeneza mm yenyewe sinyi soda kwa sabab ako na sumu na.vile vile kwa tank ya kuchanganyia.makemikal ili soda apatikane hata mende panya au mjusi akitumbukia huwa hawatoi anayeyuyikia humohumo ndo maana waweza.kuta.soda mingine na ladha kama chai
Nimikuelewa mnooooooo
 
nchi za kiarabu ndio wanajua madhara ya SODA vizuri, huku ukiwaambia watu watakuona mwehu tu....
 
Mim kw kusm ukwl nimeelew kdgooo tu kwm soda et sum lkn siamn kabs ila bhangi ban bhang taaaaamu.nimvt tu paf tat ,.ntakj bde umenelew
 
Ulikua unamaanisha nini kwenye hizi sentensi zako?.

Majibu gani mazito ulitaka ayatoe Mkuu wa TFDA kwamba soda ni hatari msiitumie!!.

Hili jibu lilijitosheleza sio kinywaji hatari yeah hata WHO wanakiweka kwenye uhatari only when in high consumptions.

Ukaishia lalamika falacy zisizo na maana bila toa way forward!.
Ameulizwa wenzake wamesema hivi na hivi (kwa tafiti) je wao nao wanasemaje kama mamlaka husika kwenye swala hilo.
Hapo ilitakiwa ajibu kwa tafiti au kama wao hawajafanya utafiti pia angesema na sio kujibu holela.
Hicho ndicho nililenga haswa lakini anyway, mimi sio mtaalam mzuri wa maswala ya uandishi kwahiyo inawezekana nikawa nimeandika kumaanisha vingine lakini nikaeleweka vingine.
Pia watu hatufanani uelewa juu ya mambo kwahiyo usifosi tufanane!
 
Mtaalam gani amesema soda ni sumu?
Weka ushahidi hapa.

Soda haina madhara yeyote, vibginenvyo umetumia tofauti.
Unapaswa kunywa soda mbili tu kwa siku.
 
Habari zenu ndugu zangu

Niende moja kwa moja kwenye dukuduku langu... ni kuhusu kinywaji cha (aina ya) soda ambacho wataalamu wengi wa afya (kama sio wote) wamekifafanua sana kwamba ni hatari kwa afya na ni sumu inayoua polepole.

Sasa cha ajabu ni kwamba hapa kwetu (nchini) kinywaji hiki kimekuwa kikitumiwa (kuuzwa na kunywewa) bila hata ya tahadhari wala miongozo yoyote.

Cha ajabu zaidi na kushangaza kama sio kusikitisha ni pale ambapo Mkuu wa kitengo kinachohusika na maswala hayo (ya vyakula na madawa) yaani TFDA alipoulizwa kuhusu jambo hilo na akatoa majibu mepesi na hoja tepetepe kabisa.
>>>alijibu soda sio kinywaji hatari kwakuwa kinatumiwa na watu wengi duniani.

Wananchi huwa tunapokea maelekezo kwa wataalam kutoka mamlaka husika Sasa je kwa hali hii tutategemea tuna mamlaka imara ya kutulinda wananchi kweli dhidi ya afya zetu?, mana hiyo ni soda tu je na vingine (ambavyo huenda tunatumia na wao wapo kimya)

Nimeshindwa kuweka link hapo lakini nimesoma kwenye Muungwana anayeweza anisaidie tafadhali
100% utakua either umetumwa na kampuni yoyote ya Breweries.Kama c Serengeti ni TBL ama wale wa pale Ubungo wazee wa CHIBUKU...
Ahsante
 
Back
Top Bottom