Social Distancing: Je, Makanisa yanatekeleza au siasa inatumika?

GUSSIE

JF-Expert Member
Dec 2, 2014
3,866
11,100
Wanabodi, Kila mtu ana Imani yake, Hapa ni picha jinsi vatikani walivyotekeleza suala la kukaa mbali Kati ya mtu na mtu angalau mita moja wakati wa misa ya ijumaa kuu.

Ibada zinazoendelea kwa sasa makanisani zinatisha sana watu bado wanakaa karibu kwa hapa Tanzania.

Kuna watu wanavikohozi na wanakohoa makanisani hakuna anayejali kwa sasa.

Uingereza wao week hii yote serikali inatoa machozi na kuwapigia wananchi magoti wasitoke ndani wakati wa Pasaka wanatumia hashtag #stay home this Easter #
Screenshot_2020_0410_202448.jpg
Screenshot_2020_0410_202421.jpg
Screenshot_2020_0410_201826.jpg
Screenshot_2020_0410_195215.jpg
Screenshot_2020_0410_202040.jpg
Screenshot_2020_0410_194854.jpg
Screenshot_2020_0410_194958.jpg
Screenshot_2020_0410_194938.jpg
Screenshot_2020_0410_195252.jpg
Screenshot_2020_0410_201057.jpg
Screenshot_2020_0410_201408.jpg
Screenshot_2020_0410_200637.jpg
Screenshot_2020_0410_194835.jpg
Screenshot_2020_0410_195416.jpg
Screenshot_2020_0410_195116.jpg
Screenshot_2020_0410_202943.jpg
 

Attachments

  • Screenshot_2020_0410_201945.jpg
    Screenshot_2020_0410_201945.jpg
    50.4 KB · Views: 1
Mimi niljivuta nikaenda kanisa KKKT,fulani hapa Dom...nilikuta ibada iko nyomi ...nashukuru nilikaa nje kulikuwa na nafasi'ya kupeana nafasi!Lahaula nilipoingia ndani kutoa Sadaka....watu walikuwa wanapumuliana!
 
Mimi niljivuta nikaenda kanisa KKKT,fulani hapa Dom...nilikuta ibada iko nyomi ...nashukuru nilikaa nje kulikuwa na nafasi'ya kupeana nafasi!Lahaula nilipoingia ndani kutoa Sadaka....watu walikuwa wanapumuliana!
Haya mambo haya tunaleta utani
 
Back
Top Bottom