Soccer Gallery Collection

Soccer Gallery Collection

[emoji460] champions celebration [emoji460]
20220209_142333.jpg
 
[emoji460]Hali hii hujitokeza pale team yako pendwa ipo fainalikwenye mikwaju ya penati team pinzani ameshakosa mchezaji wa team yako anaenda kupiga penati ya ushindi ya kwenda kunyanyua ndoo [emoji471]
FB_IMG_1644417527828.jpg
 
Jamaa wamepanda juu ya yutong wakiteleza
Africa kwakweli[emoji2297][emoji2297][emoji2297] wenzeo sherehe kama hio wana bus maalum
Kila kitu sio cha kuiga alaf wazungu wako zao ndani wanachungulia kwenye kioo kocha juu ya body [emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]
Karibu Africa sisi ndiyo sisi [emoji1787][emoji1787]
 
[emoji471]big up Cisse ,kinachonifurahisha zaidi ni mzawa hivi kuna kocha mzawa ambaye amewahi kudumu muda mrefu kuitumia timu yake ya Taifa kama kocha kama huyu jamaa [emoji471]
IMG_20220210_102915.jpg
 
Back
Top Bottom