Soccer Gallery Collection

Ronaldo orijino vs ukuta wa Man Utd...alipiga Hatrick na akapata Standing Oviation pale Old Trafford takribani miaka 19 iliyopita

View attachment 2111869
mechi ya kwanza man u alifungwa pale bernabeu, raul alitupia goli mbili,
fergie akasema anatamani raul aumie ili asiwepo mechi ya marudiano.. akaumia kweli, yeye alikua anamuogopa raul kuliko ronaldo..
alifanya kosa kubwa sana
 
[emoji460]Hivi wakisepa hawa jamaa nani atakayewarithi Mbappe naona utoto bado mwingi[emoji460]
 
[emoji460] captain kama captain [emoji460]
 
[emoji460][emoji848][emoji848][emoji460]
 
Hii ilikuwa nusu fainali ya fa cup ilipigwa Old Trafford, kipa Tomas Kuszak alikula umeme na sub zikawa zimeisha, hivyo Rio akaenda golini, lakini alishindwa kuzuia mkwaju wa Sulley Ali Muntari
Hii mechi nilliona ila sikumbuki ni mwaka gani rio fed alidaka.
 
Robbie Fowler, Mac Manaman & Jamie Redknapp (Spice Boys) wakiwa Wembley katika fainali ya F.A cup mwaka 1996 ambapo walipoteza dhidi ya Man Utd

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…