Soccer Gallery Collection

Soccer Gallery Collection

Wababe wa zamani

30A25171-AA0A-428A-8302-C87A6E0BC866.jpeg
 
[emoji460]Atletico de Madrid sasa hivi wanapumua vizuri kabisa mpunga wao haukwenda bure[emoji460]
20220317_170237.jpg
 
[emoji460]Enzi hizo man city watu wanajipigia tu alikulaga bao 8 kabla ya kuwa na mpunga kama sasa hivi[emoji460]
FB_IMG_1647593084435.jpg
FB_IMG_1647592948472.jpg
FB_IMG_1647592997308.jpg
FB_IMG_1647593101638.jpg
FB_IMG_1647593055870.jpg
 
George Weah

Ndiye mchezaj pekee kwa Africa hadi sasa kushinda ballon d'Or 1995, mchezaji bora wa Africa mara 2 ,the greatest African player 20 century.

1995 mchezaji bora ulaya ,mchezaji bora wa FIFA ,mchezaji bora wa BBC ,aliorodheshwa kwenye orodha ya wachezaji bora 100 wa FIFA.

Bado tu unataka nyingine kweli
Anaitwa George Wear Liberian by Nation.View attachment 2111886View attachment 2111887View attachment 2111888
nimefurahi kumuona kumbe alicheza Chelsea.
 
Back
Top Bottom