Kaizer stop it!!! Khaa..... lol... (unanitesa love, nimecheka mno leo.....):A S embarassed:
Hahaha...my comments are reserved...tokea nimeanza kazi mkoloni kanipa barua ya warning kwa kucheka sana nikifukuzwa kazi ni kwasababu ya hii post ya Kaizer
I can't love...I can't....please help....
Damie umeona ehee hebu waambie haoKuna tangazo, kijana aliyeruka juu
akandosha chini hiyo 'ndom
ndo baba mkwe alikubali amwoe mwanae
nadhani inahusika pia.
Unaona ninavyojali eheee mkwe...wala hauna haja ya kunitilia shakahahaha TF ..mkweo ngoja nichape lapa!
ivi icho ameweka apo juu ni nini? cant figure it out love.....:eyebrows:
Sugari ya MUNGU inafanya watu wabuni mbinu nyingi, kila wakati helo baby, helo honey, majina matamu-matamu ataitwa binti wa watu na wanajifanya wako serious na kitu ndoa ili wairambe sukari ya MUNGU na wakisha iramba tu wanaanza kujifanya wako bize na mambo ya msingi kwanza. Utasikia niko bize kazini na kadhalika. People bad.Hapo mwanamke anakuwa tayari anajua kuwa ndoa hiyo inakuja kumbe mtu mzima unataka sukari ya Mungu
Wadosi banaaAisee mkuu ilikua mshahara nipewe leo lakini mdosi kaniambia mpaka jumatatu! Nikawa nimeshikwa na hasira sana but you made my day happy kwa hii post! Ngoja niingie baa! Nice everning talk to you letter.
Hahaha!!! Eti sukari ya MunguSugari ya MUNGU inafanya watu wabuni mbinu nyingi, kila wakati helo baby, helo honey, majina matamu-matamu ataitwa binti wa watu na wanajifanya wako serious na kitu ndoa ili wairambe sukari ya MUNGU na wakisha iramba tu wanaanza kujifanya wako bize na mambo ya msingi kwanza. Utasikia niko bize kazini na kadhalika. People bad.
HahahahaHapa nani amewowa na kuwolewa?
Au mnazungumzia nyeto na cv pekee.
Lol....halafu wewe banaaTF mbona unakwepa maswali ya Babu hebu tupe uzoefu wako hapa
Hope hujamaanisha "kimaumbile"
Asee.....
Kwamba hujui pete ya uchumba.....hukuchumbia hommie?
Sore kwa kuwaingilia....
Hope hujamaanisha "kimaumbile"
Otherwise: Thread Closed!!
:smash::smash::smash:
Hahaha!!! Huyo nafikiri hakuna mtu anayemuelewa zaidi kama mimi, muacheni tu huyu mzee amalizie uzee wake..lolKhaaaa!!!!
Hope hujamaanisha "kimaumbile"
Otherwise: Thread Closed!!
:smash::smash::smash:
Shem vipi, tayari?Khaaaa!!!!
FYI uzee ndo unaanza. Nna kazi sana hapa jamvini.Hahaha!!! Huyo nafikiri hakuna mtu anayemuelewa zaidi kama mimi, muacheni tu huyu mzee amalizie uzee wake..lol
Kamata Binamu Tupa kule.......... Kamata Majirani Tupa kule.......Kamata Raumu Tupa kule...... Chukua Rav Foo weka hapa......... kamata mapupu weka hapa...........kamata..........Tusket Malti mimina hapa.....uzee mwingine waja vibaya
Kamata uzee tupa kule kamata ujana weka hapaFYI uzee ndo unaanza. Nna kazi sana hapa jamvini.
Kamata Binamu Tupa kule.......... Kamata Majirani Tupa kule.......Kamata Raumu Tupa kule...... Chukua Rav Foo weka hapa......... kamata mapupu weka hapa...........kamata..........Tusket Malti mimina hapa.....
Vruuuuuuuuuuum kwa mromboo with love!
Chukua kondom tupa kule.........kamata kikojoleo weka hapa!Kamata uzee tupa kule kamata ujana weka hapa