So sad

Husna Muba

JF-Expert Member
Jan 28, 2017
14,524
44,576
Jamani sasa huku tunakoelekea siko kabisaa hata kama ndio biashara but mmezidi sasa
imeanza JAZA UJAZWE
sasa imekuja WEKA UTIWE
c7be3583e42050362c089a62679af03c.jpg
 
  • Thanks
Reactions: Lee
hahaha nakumbuka wakati wa uzinduzi wa tangazo la tigo (jaza ujazwe) kwenye xxl clous joti alisema lazima mitandao mingine watiga akawa anakisia majina watakayotumia ikiwemo na ilo na kweli wameiga

creativity 0
 
Jamani sasa huku tunakoelekea siko kabisaa hata kama ndio biashara but mmezidi sasa
imeanza JAZA UJAZWE
sasa imekuja WEKA UTIWE
c7be3583e42050362c089a62679af03c.jpg
Hapana Mkuu. Pamoja na Majina mengi ya Promotion zilizoletwa na Mitandao ya Simu, hiyo hapo ni Editing. Watu wamefanya yao tu.

Ukiangalia Tangazo la Halotel, hayo maneno hayapo.
 
Attachments

  • IMG_20170531_161511_247.JPG
    IMG_20170531_161511_247.JPG
    62 KB · Views: 30
Hapana Mkuu. Pamoja na Majina mengi ya Promotion zilizoletwa na Mitandao ya Simu, hiyo hapo ni Editing. Watu wamefanya yao tu.

Ukiangalia Tangazo la Halotel, hayo maneno hayapo.
Na hii je?
229cbd9cdf53910f5ceeeb8f834499ae.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom