so lonely 2day

emoshi

Member
Apr 2, 2011
28
1
jamani kweli leo nipo mpweke sana so any lady to chat with via sms please my 4n number is 0766116471 am 21 yrs.
 
Angalia usije kukaribisha usumbufu wa watu kubeep na kukutukana...,
anyway all the best...
au kwanini usitumie option ya kuingia kwenye chatroom na kuchat na watu
 
Aisee pole... hapa mpaka upate number u lonly woote utakua umeisha..
Hii ni weekend.. may tafuta mtu wa karibu ukajirushe... you are too young kua lonely bana!!
 
ila leo my dear umeniangusha! i thought utamuambia afanye hmwrk afu aangalie movie baada ya kusaidia kazi za nyumbani? wknd nikaribishe basi tuue u-lonely ama mwenzangu uko busy?
Aisee pole... hapa mpaka upate number u lonly woote utakua umeisha..Hii ni weekend.. may tafuta mtu wa karibu ukajirushe... you are too young kua lonely bana!!
 
ila leo my dear umeniangusha! i thought utamuambia afanye hmwrk afu aangalie movie baada ya kusaidia kazi za nyumbani? wknd nikaribishe basi tuue u-lonely ama mwenzangu uko busy?

Dear he is 21.. thus ana qualify kupumzika on this Saturday jamani...
King'asti uko strict kwa vijana eeeh?? safi saana..
 
Back
Top Bottom