Sniper wa Kikanada avunja rekodi ya dunia

Sniper wa Kikanada avunja rekodi ya dunia

Yupo kibiti?
Wauaji wa Kibiti always ni "Watu Wasiojulikana", na wakiua always hua wanaelekea "Kusikojulikana",
Sasa hapo hata uwe na sniper wa uwezo gani hatowaweza hawa watu
 
Kwenye Mechanics-Projectile ile wao Range tuu hawatumii Trajectory kabisa. In short inabidi ukae darasani.
 
Duuuu kweli maisha yana pande mbili. Wakati amri ya Mungu Usiue... Huku watu wanapongezana kwa Mauqji. Ukiuliza eti Vita.......!!!!
 
Stori za kujikweza za Wazungu bana... Wakapigane Korea, walishaawekewa mchanga wa kuputa. Vikaragosi msituzuge!
 
kawaida hawezi kufanya yote mwenyewe bila kuwa na msaidizi wa kupima upepo nk

Kabisa mkuu kila sniper lazima awe na spotter wake. Ila na yeye lazima awe anarudisha mrejesho ili wakamilishe zoezi. In short it's team work.
 
I killed them Jenkins brothers with One Bullet.....In Rango Voice
 
Duuuh! Watu na fani zao [emoji122][emoji122][emoji122]
 
Back
Top Bottom