punzumagulu
Senior Member
- Apr 14, 2017
- 100
- 66
Kila La heri mshabaha wa dunia
Hii kaz ilikua majawapo ya ndoto zangu lakin iliyeyuka[/ pole sana mkuu igeuzie kwa mademu wa kitaa utakuwa hodari tu mkuu
Ungekua kwa wenzetu ungekua Iraq mda huu na sniper riffle yako begani!!Hii kaz ilikua majawapo ya ndoto zangu lakin iliyeyuka
....Hivyo vipimo wengi wa dot.com hawavijui mleta mada angesema tu umbali wa mita 3500 sawa na 3.5kmMaili 2 unaichukuliaje mkuu
1 km = 1000m ; 3500m = 3.5kmNi sawa na km ngap
Pale kuna mwanangu mmoja wa Singida anasifika kwa kulenga moveable object sijui ni kweli au vyumviWapo wengi mpaka hifadhi za taifa
Inawezekana sana tu, wapo wengi.Pale kuna mwanangu mmoja wa Singida anasifika kwa kulenga moveable object sijui ni kweli au vyumvi