kauzu12
JF-Expert Member
- Nov 11, 2016
- 868
- 785
Duh!Viwanja vya mpira 35 na nusu, kwani wewe unakaa wapi nikupe mfano?
Duh!Viwanja vya mpira 35 na nusu, kwani wewe unakaa wapi nikupe mfano?
Yes very possible only under favourable conditions, snipers know that.Sniper au mlenga shabaha hodari wa Kikanada ameweka rekodi kwa kumtungua gaidi wa kikundi cha IS (Islamic State) “daesh”aliyekuwa umbali wa zaidi ya takribani maili 2. Katika kuweka rekodi hiyo, Sniper huyo alitumia silaha aina ya “McMillan TAC-50 sniper rifle” akiwa juu ya moja ya majengo marefu inchini Iraq.
![]()
![]()
Risasi hiyo ilisafiri chini ya sekunde 10 kumi na kumuua gaidi huyo aliyekuwa umbali wa mita 3,540 (maili 2.19) umbali huo ni sawa kabisa na urefu wa kutoka kwenye kanisa la Mviringo (KKKT Magomeni) na kona ya kwenda Mabibo kutokea barabara kuu ya Morogoro.
Risasi hiyo iliweza kusimamisha tukio lillokuwa linaenda kutekekelezwa na magaidi hao dhidi ya askali polisi wa Iraq na tukio hilo zima lilirekodiwa na wenzake kwa mfumo wa video ili wahifadhi kwenye kumbukumbu zao.
Tukio hilo lilivunja rekodi iliyowekwa mwanzo na mwanajeshi (sniper) wa Kiingereza Craig Harrison aliyewahi kumpiga adui (taliban) risasi akiwa kwenye umbali wa mita 2,475 (maili1.53) nchini Afghanistan (Helmand Province) mwaka 2009 akitumia “L115A3 long range rifle”.
Kamanda wa kikosi cha Operesheni Maalumu cha Jeshi la Kanada alizibitisha hilo na ushahidi upo ila alikataa kusema ni lini tukio hilo lilifanyika kutokana na sababu maalum za kuisalama.
Walenga shabaha hao hodari huwa wanatakiwa kuweka mahesabu yao sawa kulingana na uvumi wa upepo, milima na mabonde na mruko wa risasi yenyewe ili iweze kutimiza malengo.
Hii ni habari nzuri kwa waziri mkuu wa Kikanada ambaye alisimamisha matumizi ya ndege za kudodonsha mabomu mwaka 2016 na kuhahidi kuongeza maradufu wanajeshi hao maalum na pia wa kawaida ili kusaidia kutoa mafunzo jeshi la Iraq.
McMillan TAC-50
![]()
Source: BBC & Sky News![]()
niliona bora kuwa bilioner kuliko usnaperVipi Mkuu ulikatika vidole???
Alipiga mahesabu maana yake nini?...alipiga mahesabu maana yake hivi:he he! Sekunde 10!!
mpigwaji alikuwa ktk pozi gani na ilimpata maeneo gani..?
Mpishi mkuu,uliyevimbiwa maharage ni wewe unayebisha usilolijua
Spotter ndio anampigia mahesabu. Sniper kazi yake ku adjust bunduki kulingana na mahesabu ya spotter wake.Aisee, huyo sniper kaibahatisha hiyo hawezi rudia, risasi inayosafiri muda mrefu hivyo inakupata hata mlio hukusikia.
Aliyeimba ukisikia paa imekukosa alikosea, kwa sniper unasikia paa unakufa baada ya sekunde 10. Kudadeki. Yaani jamaa kapima upepo kajua uzito wa risasi ka~calculate projectile angle kaachia na kikatua penyewe.
Kwamba Pombe ataziagiza, kama alivyoagiza bomber dia? Au atamnunua mdunguaji?Matangazo ya biashara ya silaha husika
Diih....sekunde kumi risasi ipo hewani???
Hii kaz ilikua majawapo ya ndoto zangu lakin iliyeyuka
Ni sawa na km ngap
Tulia acha kukurupuka ameua jamaa wa IS au hawa jamaa ndugu zako nini???Wanaenda kuua watu kwa kujisifu utafikiri ameua swala.
Wao wakiuawa kelele nyingi sana. Hiyo ndio double standard yao.
Km3 na mita540Ni sawa na km ngap
Sie tunae wetu Makame mbona yupo vzr tu ni vile hatuna mahali pa kufanyiaUnapokuwa unalenga kwa utulivu wa hali ya juu unakuwa subconscious .
Mapigo ya moyo yanakuwa juu sana
Ni mbinu ngumu sana kwani unaachia trigger between the heartbeat
Yupo kibiti?Sie tunae wetu Makame mbona yupo vzr tu ni vile hatuna mahali pa kufanyia