Sniper wa Kikanada avunja rekodi ya dunia

Sniper wa Kikanada avunja rekodi ya dunia

Aisee, huyo sniper kaibahatisha hiyo hawezi rudia, risasi inayosafiri muda mrefu hivyo inakupata hata mlio hukusikia.

Aliyeimba ukisikia paa imekukosa alikosea, kwa sniper unasikia paa unakufa baada ya sekunde 10. Kudadeki. Yaani jamaa kapima upepo kajua uzito wa risasi ka~calculate projectile angle kaachia na kikatua penyewe.
 
wanatumia vilengeo maalum vya kukuza target( kilengwa)


Mkuu nilishawahi kuona program moja ya hawa jamaa siyo rahisi hivyo kama unavyosema, wanakuwa na pen na karatasi kabisa wanaandika vitu na kuna wakati wakishamaliza kufanya mahesabu yao target unakuta amesogea hivyo wanarudi tena kwenye mahesabu
 
Achana nao huyo ni chief cooker namjua vzuri,kwetu sisi Professional Hunter(PH) kusikia kazi kama hii sio ajabu,huyo muulize ukitaka kupika chapati za kumimina au biriani unafanyaje utapata majibu.
Chief Cooker ndio nini?Naona umevimbiwa maharage.
 
Aisee kwa kifupi wakanada ni nyoko
ade007c63424b71db109eb107e82c272.jpg
 
Back
Top Bottom