Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 50,468
- 113,583
Haya mtafuteeee ukimalizaYes nilisema nastaafu baada ya kumpata Polepole, kujiunga CCM na kukabidhiwa kadi yangu ya CCM.
Unfortunately sikufanikiwa kumpata Polepole, mpaka sasa bado namtafuta Polepole, nikimpata najiunga CCM na kuaga rasmi jf. Hivyo kwa sasa bado nipo nipo jf nikimsubiria Polepole.
P
Mgawanyo wa 50/50 ni hadhi washirika wa muungano, yaani hadhi ya iliyokuwa Tanganyika na hadhi ya iliyokuwa Jamhuri ya Watu wa Zanzibar, ziko sawa ndani ya muungano, lakini kufuatia ukumbwa wa eneo na economic activities, Zanzibar ni just 4.5% ya Tanzania.Ahahahaaaa . Siyo vizuri hivyo !! Siku hizi 50/50.
Odhis *
Swala nyeti unalijua wewe???Ili iwe nini mkuu, kwani hili nalo ni la kiupinzani Hadi tuingize upinzani kwenye swala nyeti kiasi hiki?
Hili ni fikirishi sana mkuuHivi P. Kwanini sisi wa Tanganyika tunajifanya kuwaonea huruma sana wa Zanzibari ?!. Ukisoma maoni ya watu wa bara humu , ni kuwa hawapendi kusikia wa Zanzibari wanataka kusimama kwa miguu yao wenyewe !!!. Wakati wa Zanzibari wengi wangependa waachwe na umasikini wao. Lakini wa Tanganyika wengi eti wanaonea huruma. Why P.?!
Odhis *
Wajinga hao wanajisahaurisha, (wanzibari weusi wote asili yao ni bara)Hao viongozi wenu wote historia zao ni watanganyika pia.
Labda useme watanganyika waenyeji wa Zanzibar wawazuie watanganyika wageni kuja Zanzibar.
Hata wewe pia ni mtanganyika pengine babu zako wanyawezi au wamakonde kinyume na hapo wewe sio mtanzania.
Kwani hamfi kwa maradhi? Waogopa kifo weye si mtanganyika pia, hivi kuna nchi mbili hapa au wahadaika.
Hiyo Corona wameipatia huko visiwani.
Ukisoma taarifa ya wizara ya afya Zanzibar hao unaowaita watanganyika wamefika huko visiwani mmoja tarehe 13/04/2020 na mwingine tarehe 18/04/2020. For that case wamekaa Zanzibar zaidi ya wiki 2
Sent using Jamii Forums mobile app
Pengine huelewi mazingira ya visiwani. Kwa taarifa yako ni kwamba hivi karibuni karibu watu 600 ambayo inasadikiwa kuwa wapemba wameingia pemba kinyemela. Hao wanaotoka Tanga karibu wote ni wapemba wanaoishi Tanga na wengine toka pemba ndiyo wanaokwenda visiwani humo kupitia Pemba. Ni aghlabu sana kwa mtu wa bara kukimbilia pemba.
Hela kwa utajiri gani uliokuwepo visiwani??? Kwani ZRB inafanya kazi gani??Huruma wakati mnakuja kupora hela zetu kila leo kupitia TRA
Huruma wakati mnavuruga amani na ustwi wetu
#STAY AT HOME!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii mikwara bado ipo?