SMZ zuieni Watanganyika kuingia Visiwani watatuletea majanga

Hiyo Corona wameipatia huko visiwani.
Ukisoma taarifa ya wizara ya afya Zanzibar hao unaowaita watanganyika wamefika huko visiwani mmoja tarehe 13/04/2020 na mwingine tarehe 18/04/2020. For that case wamekaa Zanzibar zaidi ya wiki 2

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama ni hivyo nikusema wameambukizwa na wakazi basi utuletee waliowaambukiza wao tuwapeleke kidimni
Hili halotaki mjadala mnatuletea magonjwa banaaa
# STAY AT HOME!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
dega,
Pengine huelewi mazingira ya visiwani. Kwa taarifa yako ni kwamba hivi karibuni karibu watu 600 ambayo inasadikiwa kuwa wapemba wameingia pemba kinyemela.

Hao wanaotoka Tanga karibu wote ni wapemba wanaoishi Tanga na wengine toka pemba ndiyo wanaokwenda visiwani humo kupitia Pemba. Ni aghlabu sana kwa mtu wa bara kukimbilia pemba.
 
TUUNGANE.

"baba unahonga hawara elfu kumi,
watoto wanakufa na njaa nyumbani"
 
Duh...!, hii kali!. Huu ni ubaguzi mbaya kabisa!, hakuna watu wanaitwa Watanganyika, waliopo ni Watanzania, miongoni mwao ndio kuna Wazanzibari Wakaazi. Huwezi kumzuia mtu kurejea kwao, kitu cha kufanyika ni kuizingatia ni kuizingatia tuu ile 14 days quarantine kwa kila anayeingia Zanzibar, hata akitoka Chumbe!.
P

Kipindi huki angekua Sn Karume yupo angesema Watanganyika mwisho Chumbe....


Sent from my iPad using JamiiForums
 
Duh...!, hii kali!. Huu ni ubaguzi mbaya kabisa!, hakuna watu wanaitwa Watanganyika, waliopo ni Watanzania, miongoni mwao ndio kuna Wazanzibari Wakaazi. Huwezi kumzuia mtu kurejea kwao, kitu cha kufanyika ni kuizingatia ni kuizingatia tuu ile 14 days quarantine kwa kila anayeingia Zanzibar, hata akitoka Chumbe!.
P
Hivi P. Kwanini sisi wa Tanganyika tunajifanya kuwaonea huruma sana wa Zanzibari ?!. Ukisoma maoni ya watu wa bara humu , ni kuwa hawapendi kusikia wa Zanzibari wanataka kusimama kwa miguu yao wenyewe!

Wakati wa Zanzibari wengi wangependa waachwe na umasikini wao. Lakini wa Tanganyika wengi eti wanaonea huruma. Why P.?!

Odhis *
 
Pengine huelewi mazingira ya visiwani. Kwa taarifa yako ni kwamba hivi karibuni karibu watu 600 ambayo inasadikiwa kuwa wapemba wameingia pemba kinyemela. Hao wanaotoka Tanga karibu wote ni wapemba wanaoishi Tanga na wengine toka pemba ndiyo wanaokwenda visiwani humo kupitia Pemba. Ni aghlabu sana kwa mtu wa bara kukimbilia pemba.
Hawa waliojaa ni wahutu au?? Bakieni nyumbani hata huko mtatibiwa msituletee janga
#STAY AT HOME!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi P. Kwanini sisi wa Tanganyika tunajifanya kuwaonea huruma sana wa Zanzibari ?!. Ukisoma maoni ya watu wa bara humu , ni kuwa hawapendi kusikia wa Zanzibari wanataka kusimama kwa miguu yao wenyewe !!!. Wakati wa Zanzibari wengi wangependa waachwe na umasikini wao. Lakini wa Tanganyika wengi eti wanaonea huruma. Why P.?!

Odhis *
Muungano project ya ccm. Muungano upo kwa faida ya ccm siyo kwa faida ya watanganyika na wazanzbari. Huo ndio ukweli.Furaha Muungano project kama ilivyo miradi mengine inayo awamu tatu - planning,execution and closure. Planning na execution tayari,imebakia closure. ccm oyee
 
Back
Top Bottom