SMZ yakataa waraka wa wakatoliki

SMZ nao imekuwaje? Mbona huu waraka sio wa serikali bali ni wananchi sasa wao inakuwaje waukatae?
 
Mtamroga au mtamsomea albadil? wewe ndio umeamua kuwa hatakiwi kutia mguu Zanzibar au?
Ndugu zangu wa Zanzibar jaribuni kubadilika jamani, hivi kweli mnadhani mtabaki na akili hizo hadi lini? kwanini mnapenda sana ligi zisizokuwa na maana? Ninahisi wa bara wamewachoka mno basi tu, ingekuwa kuna kura za maoni nahisi idadi kubwa ya kukataa muungano wa kijinga huu ingetoka bara sasa....

Wakatoliki kwanza mjitoe toka kwenye UTUMWA wa kutawaliwa na Papa wa vatican. Kwanza mngeanza kuwachagua viongozi wenu wenyewe hapa tanzania kuanzia kadinari, maaskofu na mapadri nyie wenyewe na kuwabariki wenyewe kisha kumpelekea papa taarifa tu na sio yeye ndie awchagulie na kuwabariki viongozi wenu wa kikatoliki.

Wazanzibar hawataki mchezo mchafu wa wakatoliki
 
Hatimaye Serikali ya mapinduzi Zanzibar imeupinga kabisa na kuukataa waraka uliotolewa na kanisa katoliki . Imeweka wazi kuwa waraka huo ni hatari sana na una nia na madhumuni ya kugawa nchi ikiwa pamoja na kuvunja umoja wa kitaifa,

Waraka wa wakatoliki mwisho Chumbe

Hivi huo waraka wenye nia na madhumuni ya kugawa nchi pamoja na kuvunja umoja wa kitaifa ni ule ule ambao sisi wengine tumeusoma au? Bila shaka hawa wenzetu wamepata nakala tofauti au hawakuusoma kabisa. Ninachokiona hapa ni watu kufuata mkumbo bila hata kujua wanazungumzia nini. Ni ujinga wa hali ya juu kutoa tamko la namna hii. Hii pia yaonyesha jinsi gani watu wetu bado kukomboka kifikra, na ndio maana wajanja kama akina Rostam na Manji wataendelea kuitafuna nchi huku baadhi yetu wakiwatetea kwa nguvu zote.
 
Wakatoliki kwanza mjitoe toka kwenye UTUMWA wa kutawaliwa na Papa wa vatican. Kwanza mngeanza kuwachagua viongozi wenu wenyewe hapa tanzania kuanzia kadinari, maaskofu na mapadri nyie wenyewe na kuwabariki wenyewe kisha kumpelekea papa taarifa tu na sio yeye ndie awchagulie na kuwabariki viongozi wenu wa kikatoliki.

Wazanzibar hawataki mchezo mchafu wa wakatoliki

Afadhali ya wakatoliki wanataliwa na Papa kuliko ninyi mnataliwa na shetani.
 
Wakatoliki kwanza mjitoe toka kwenye UTUMWA wa kutawaliwa na Papa wa vatican. Kwanza mngeanza kuwachagua viongozi wenu wenyewe hapa tanzania kuanzia kadinari, maaskofu na mapadri nyie wenyewe na kuwabariki wenyewe kisha kumpelekea papa taarifa tu na sio yeye ndie awchagulie na kuwabariki viongozi wenu wa kikatoliki.

Wazanzibar hawataki mchezo mchafu wa wakatoliki

Ustaadh Hafif naona umenijibu kwa nguvu ila kwanza naomba ujue hata mimi sio Mkatoliki ila ninawaheshimu wakatoliki kama ambavyo ninawaheshimu watu wa dini yoyote, ukiuliza kwa nini wakatoliki wanachaguliwa viongozi na papa nao watakuuliza kwanini na wewe unaongea kiarabu wakati ni muafrika naomba tusifike huko.
Cha msingi tuangalie shida zetu na matakwa yetu mkubwa, pakitoka waraka wa maaskofu wa katoliki alafu ukaleta chuki zako za muungano ndio unaleta shida sasa, nyie wazanzibari ni kama mnaamini mnaonewa au sijui mnaburuzwa, hiyo ni makosa ustaadh, ungejua kama nyie ndio mnanufaika na huu muungano wa alinacha ungeshukuru rafiki, ninaamini kwa akili yako unaweza kujua kabisa zanziba kama nchi muungano ukivunjika mnategemea nini kuingiza kipato? Utalii huo unaoendeshwa na waitalia na watanganyika? Karafuu iliyoshuka thamani? au bandari isiyo na tija hiyo? Kiukweli ukae ukijua viongozi wa bara wanalilia huu muungano sababu ya usalama wa Tanzania bara tu ila kubali mkatae muungano huu unawasaidia nyinyi zaidi kuliko bara kuanzia umeme, elimu, ujanja na kila kitu
 
Hatimaye Serikali ya mapinduzi Zanzibar imeupinga kabisa na kuukataa waraka uliotolewa na kanisa katoliki . Imeweka wazi kuwa waraka huo ni hatari sana na una nia na madhumuni ya kugawa nchi ikiwa pamoja na kuvunja umoja wa kitaifa,

Waraka wa wakatoliki mwisho Chumbe
Kamilisha habari hii, naona kama ni vipande vipande tu. Tupatie mazingira: lini, wapi, nani? n.k au chanzo cha habari.
 
Muungano kitu gani bwana?yaani, najuuuuta kuwemo ndani ya muungano ambao wazanzibar wamo ndani yake!washukuru bado kuna kizazi cha nyerere na karume, haki ya mungu siku zinakuja ambapo tutauvunja tu huo muungano hata kwa kutumia uzi wa bui bui, siupendi mie pamoja na wazanzibari wenyewe!
 
Eeeh kijiwe cha wenye kujihita Great Thinkers, sasa haya ndio majibu na mijadala ya wale wenye kujitia wakuu wa hikma na ilmu kubwa. Nawasikitikia wale wasio ishi kwenye nyumba za Great Thinkers, sijui watakuwa katika hali gani.
 
Najaribu kufikiria kuwa huenda SMZ na CCM wanatafuta najia ya kupitia ili waupige marufuku ule wimbo wa Mr Politician ulioimbwa na Nakaaya.

[
 
Wewe Ibilisi Mkubwa tafuta jibu .... Sio kuita watu wanatawaliwa na Shetani KAFIR MKUBWA
 
mimi nawashangaa sana hawa wapemba na waunguja kujifanya kuringa na muungano kama vile wabara ndiyo tunanufaika nao sana wakati tunabeba mzigo usiotuhusu hata kidogo, mimi ningependa huo muungano hata leo ufe, na wajue kwamba wote tunawatimua bara hawana faida yoyote kwetu mbali ya majungu na kutaka kubembelezwa kama ma-miss fulani hivi.
 
Ustaadh Hafif naona umenijibu kwa nguvu ila kwanza naomba ujue hata mimi sio Mkatoliki ila ninawaheshimu wakatoliki kama ambavyo ninawaheshimu watu wa dini yoyote, ukiuliza kwa nini wakatoliki wanachaguliwa viongozi na papa nao watakuuliza kwanini na wewe unaongea kiarabu wakati ni muafrika naomba tusifike huko.
Cha msingi tuangalie shida zetu na matakwa yetu mkubwa, pakitoka waraka wa maaskofu wa katoliki alafu ukaleta chuki zako za muungano ndio unaleta shida sasa, nyie wazanzibari ni kama mnaamini mnaonewa au sijui mnaburuzwa, hiyo ni makosa ustaadh, ungejua kama nyie ndio mnanufaika na huu muungano wa alinacha ungeshukuru rafiki, ninaamini kwa akili yako unaweza kujua kabisa zanziba kama nchi muungano ukivunjika mnategemea nini kuingiza kipato? Utalii huo unaoendeshwa na waitalia na watanganyika? Karafuu iliyoshuka thamani? au bandari isiyo na tija hiyo? Kiukweli ukae ukijua viongozi wa bara wanalilia huu muungano sababu ya usalama wa Tanzania bara tu ila kubali mkatae muungano huu unawasaidia nyinyi zaidi kuliko bara kuanzia umeme, elimu, ujanja na kila kitu

Usichanganye lugha na uongozi. kwani hata Tanzania inatumia lugha ya kimombo kama lugha yake ya kiserikali. Nchi kama Kenya na Uganda wanatumia kimombo kama lugha yao ya taifa. ELEWA KUWA LUGHA NI NYENZO TU YA MAWASILIANO.

Sasa pamoja na nchi hizo na nyingine nyingi kutumia kiingereza au kifaransa, kispain n.k lakini nchi hizo zina michakato huru ya kuchagua viongozi wake wa kitaifa.

Vile vile suala la kiusalama kwa bara ndio maana mnalazimisha muungano nafikiri hilo halimo na limepitwa na wakati. CHA MSINGI NI BARA INANUFAIKA ZAIDI NA MUUNGANO NDIO MAANA MNALAZIMISHA. ZNZ IMECHOKA NA SO CALLED MUUNGANO. NANYI MTOE USHIRIKIANO TUVUNJE MUUNGANO. TUONE NANI ATAHADHIRIKA. Kwa upande wangu wabara mtafadhaika hususan na hiizi vita mbili UDINI na Ufisadi.

Mtauana enyewe kwa wenyewe kutokana na chuki hii ya udini iliyolipuka miongoni mwenu ya Wakatoliki kutaka kuitawala Bara.

Poleni sana
 
Wakatoliki kwanza mjitoe toka kwenye UTUMWA wa kutawaliwa na Papa wa vatican. Kwanza mngeanza kuwachagua viongozi wenu wenyewe hapa tanzania kuanzia kadinari, maaskofu na mapadri nyie wenyewe na kuwabariki wenyewe kisha kumpelekea papa taarifa tu na sio yeye ndie awachagulie na kuwabariki viongozi wenu wa kikatoliki.
.

maneno sahihi kabisa. kwanza ondoa boriti jichoni mwako kabla kuondoa kwa mwenzako.
 
Wewe ulieanzisha thread cut the crap na kutuletea chanzo cha hii habari usitufanye sisi ni wajinga umeskia?
 
SMZ ikikataa Waraka ndio kusema itazuia watu kuusoma? Nadhani hizo ni ndoto za alinacha. Katika ulimwengu wa sasa uwezi kuzuiya waraka kusomwa. I am really sorry for such myopic SMZ leaders.
 
Wakatoliki kwanza mjitoe toka kwenye UTUMWA wa kutawaliwa na Papa wa vatican. Kwanza mngeanza kuwachagua viongozi wenu wenyewe hapa tanzania kuanzia kadinari, maaskofu na mapadri nyie wenyewe na kuwabariki wenyewe kisha kumpelekea papa taarifa tu na sio yeye ndie awchagulie na kuwabariki viongozi wenu wa kikatoliki.

Wazanzibar hawataki mchezo mchafu wa wakatoliki

Nadhani watumwa ni nyie mnaotawaliwa na shetani kupitia Osama bin laden ambaye ndo mtume wenu. labda niulize hivi Obama hajamnyonga yule mzenji swahiba wa osama?
 
Mtamroga au mtamsomea albadil? wewe ndio umeamua kuwa hatakiwi kutia mguu Zanzibar au?
Ndugu zangu wa Zanzibar jaribuni kubadilika jamani, hivi kweli mnadhani mtabaki na akili hizo hadi lini? kwanini mnapenda sana ligi zisizokuwa na maana? Ninahisi wa bara wamewachoka mno basi tu, ingekuwa kuna kura za maoni nahisi idadi kubwa ya kukataa muungano wa kijinga huu ingetoka bara sasa....

hata hivyo SMZ ni kama imekumbuka kujifunika shuka wakati kumeshakucha! Waraka umetoka siku nyingi na kama kuusoma watu walishasoma si ajabu hawakumbuki uko wapi sasa. Tena waraka sio kitu cha msingi sana maana waraka unafuatiwa na semina ambazo zinauchambua waraka kwa kina na semina kama hizo zimeshafanyika katika sehemu mbali mbali. SMZ is coming into this game a little bit too late, I am afraid.
 
Hatimaye Serikali ya mapinduzi Zanzibar imeupinga kabisa na kuukataa waraka uliotolewa na kanisa katoliki . Imeweka wazi kuwa waraka huo ni hatari sana na una nia na madhumuni ya kugawa nchi ikiwa pamoja na kuvunja umoja wa kitaifa,

Waraka wa wakatoliki mwisho Chumbe

Weka source ya thread yako otherwise ifungwe
 
Back
Top Bottom