`SMZ rudisheni hati za kusafiria`

Pasi zirudishwe. Ili sasa hivi iwe kwa pande zote mbili, wazanzibari na wabara. Walete na residency permits. Kwa pande zote mbili, bara na visiwani. Huyo mheshimiwa si ajabu ndugu zake kibao wako bara wanapeta. Kama anavyosema, Mtu wa pwani, ni unafiki mtupu.
 
tufike pahala tuwe wa kweli

muungano ni suala muhimu sana na nnaamini kila pande unajua umuhimu wa muungano huu au mwengine hata lugha yetu ina misamiati mingi tu yenye kuhimiza muungano

sasa suala la kujiuliza nani anataka muungano na nani hataki si suala la kimantiki bali ni suali la kimantiki ni vipi pande zote mbili zitanufaika na masuali ya kimuungano
 
Back
Top Bottom