cacico
JF-Expert Member
- Mar 27, 2012
- 8,362
- 7,812
muhimu poayo!! ana mapene huyu?? au ndio mambo ya DECI??Safi, yakoyo je?
Acha nimhashue kijana
muhimu poayo!! ana mapene huyu?? au ndio mambo ya DECI??Safi, yakoyo je?
Acha nimhashue kijana
Unahangaikia unga, ujue mie ndio sufuria
Nikikugomea kukaa jikoni utajuuta kunifahamu
Hawezi Ney anajua jinsi navyompenda alafu amefika kwene hili likitu langu ndo maana anailinda.. ehehehe
muhimu poayo!! ana mapene huyu?? au ndio mambo ya DECI??
Wala sitajuta..si unaona marestaurant kila siku yanafunguliwa mapya..ni kwa ajili ya insident kama hizo endapo zinatokea...
Mmmh, nimesikia
Haikuwa na haja ya kuja kunianika huku kwa ID mpya
Ungeniambia tu
kwi kwi kwi kwi! anasimamia kitonga!! chezeiya wala ugali wa dona weye??? aminia my dada, kwa hapo mie kimyaaaaa, sina la ku-add!!Mmmh, mweupe kama uwanja wa shule
Ila shughiiliye tu, mie hoi
kwi kwi kwi kwi! anasimamia kitonga!! chezeiya wala ugali wa dona weye??? aminia my dada, kwa hapo mie kimyaaaaa, sina la ku-add!!
Utatupeleka kila siku restaurant?
kwi kwi kwi kwi! anasimamia kitonga!! chezeiya wala ugali wa dona weye??? aminia my dada, kwa hapo mie kimyaaaaa, sina la ku-add!![/QUO
Hehehe Casio bana... kumbe ushaexperience... Hapo kwenye dona toa alafu weka Muhogo..Ugali muhogo na dagaa... lazima uombe maji ya kunywa ktikati ya shughuli..hehehe
Most people prefer sms kama mawasiliano na wapenzi wao zaidi ya kupiga simu... na kwa mtazamo wangu matatizo mengi sana kwenye mahusiano yanaanziaga hapo..
Mfano utakuta mtu uko busy umefungwa motor na boss wako ofisini....mpenzi anakutumia sms..wewe kwa sababu umekamatwa na kazi huisikii....baadae sana unapopata mda ukimjibu ni ugomvi na saa nyingine hata mpaka jioni ndio unaiona.
Ni vizuri ukiona umetuma sms alafu hujibiwi ruka hewani fasta...na hapo kama hujibiwi ndio uanze kurusha mawe..sio unakurupuka tu.
Hapana siku nyingine nitawabebea chipsi kuku au kiti...m...o....t..
muhimu poayo!! ana mapene huyu?? au ndio mambo ya DECI??
he he heeeee, kuna rafiki zangu wakiniona nimeshika simu na tabasamu tu basi kila mtu anakula kona yake, maana wanajua kuongea nao ni mpaka zipite dakika 30 au saa nzimaaaaaa, si unajua tena mambo ya timing? sasa hapo kama nilikuwa napika ni mwendo wa kuzima jiko na kuendelea baadae, nilishaunguza mara 2, sina hamu tenaGood thing about messages kwenye mapenzi hu'prolong' maongezi na hivyo kuweka ukaribu zaidi na mpenzio...kitu ambacho kwa kupiga simu mngediscuss kwa dakika 3, kwa sms mtakidiscus kwa nusu saa nzima! So phone calls are strictly for urgent matters, vinavyobaki...BBM, Whatsapp, SMS with ha ha haa na lol nyingii!
Kama unabeba kitimoto, basi fanya kazi baba
Ntakuwa nabip tu, usipopiga unaniona ofisini kwako na dera la zambarau
kama sijajiunga na xtreme pack je?Jamani sms zina raha yake..!!
Nikuandikie msg saa tatu asubuhi mpaka saa kumi na mbili jioni hujaiona? Haiwezekani..!!
Ukiichelewa kujibu saa moja, mawili nitaelewa lakini sio masaa yote hayo mweeeeh!!
kama sijajiunga na xtreme pack je?
Ina maana usipojiunga na xtreme pack ndio huwezi andika msg? Mmmh..!!!