Neylu
JF-Expert Member
- May 28, 2012
- 2,938
- 1,848
siwezi andika maana sms ni ghaleeee kimtindo...
Mmmnh...!!
siwezi andika maana sms ni ghaleeee kimtindo...
ukitumiwa sms shida akikupigia shida sasa afanyeje baadae oooh mke wangu hajui hata malavidavi wapiiiii wewe
ok nimekunyake ndio lazima nilianzishe kama ukiwa bize yakupasa uniambie mapema baby leo nitakua bize nitakucheki mida kwanini usiniambie ni2me sms hujibu nipige sim husipokee lazima unipe mashaka ukiwa kama mpenwa wangu looo chezea kupenda wewee unaweza kupata ugonjwa wa moyo SARIKOKI