Kakajambaz Jr
Member
- Oct 4, 2012
- 59
- 13
mfalme mmoja aliwaita wananchi wake akawaambia 'namtaka shujaa atakaye weza kuogelea na kuvuka kwenye huu mto wa mamba nitamuozesha bint yangu na kumpa nusu ya ufalm....'
kabla ya kumalizia akasikia 'pwaaah'.jamaa kaogela mpaka upande wa pili.mfalme akasema 'nitakupa bint yangu na nusu ya ufalme wangu' jamaa akasema 'sitaki bint yako wala zawadi zako,namtaka huyo bw**g* alyenisukuma humu mtoni'
Mwanamke zuzu alikuwa na mchumba wake zuzu kama yeye, lakini mwishowe uhusiano ulivunjika.Mwanamke flani alipata sms kutoka kwa mpenzi wake wa kando ikisema kuwa anataka uhusiano wao uishe. Wakati anaisoma akahisi uchungu na kuanza kutokwa na machozi.Mume wake alipomuona akamuuliza;
MUME:"Hio sms ya nini?"
MKE:"Ni ya jinsi ya kupika pilau tu...nimetumiwa na dadangu."
MUME:"Mbona unalia basi?"
MKE:"Jamani si nimefika sehemu ya kukata kitunguu!"
SALA MAALUMU
Jamaa alikuwa anasumbuliwa na panya akaamua kuwategea sumu kwenye nyama ya nguruwe. Kesho yake akakuta karatasi imeandikwa 'TUWEKEE KWENYE SAMAKI SISI WENGINE NI WAISLAM'
jf ina raha sana nimecheka mpaka nimejamba.Mwanamke flani alipata sms kutoka kwa mpenzi wake wa kando ikisema kuwa anataka uhusiano wao uishe. Wakati anaisoma akahisi uchungu na kuanza kutokwa na machozi.Mume wake alipomuona akamuuliza;
MUME:"Hio sms ya nini?"
MKE:"Ni ya jinsi ya kupika pilau tu...nimetumiwa na dadangu."
MUME:"Mbona unalia basi?"
MKE:"Jamani si nimefika sehemu ya kukata kitunguu!"
teh teh tee!!Wanivunja mbavu!Uwwwwiiiii!!!Jamaa alikuwa anasumbuliwa na panya akaamua kuwategea sumu kwenye nyama ya nguruwe. Kesho yake akakuta karatasi imeandikwa 'TUWEKEE KWENYE SAMAKI SISI WENGINE NI WAISLAM'
Ha ha ha huhaaaa! We MKALEEEE UNAMULIKA MPKA GIZANI? MSALIMIE MZEE WA MAJIMBO!Duuuu! Hakyanani jf haina mfano yaani unaweza kusahau hata kakodi ka nyumba kwa mda. Aiseee teheteheteheeeeee uuuuu!! uwarikiWaU