SMS hizi! Ungefanyaje?



You made my day ha ha ha ha nimechekaje aisee
 
Kama haja ndogo tunaiita "short call"

Haja kubwa tunaiita "long call"

**** uwezekano kujamba iiitweee "missed call"
 
Je, ungekuwa ndio baba yake ungefanyaje?

Binti kwa bahati mbaya ametuma msg kwa baba yake ambayo alitaka kumtumia boyfriend wake, akisema sweetheart siwezi kuitoa hii mimba. Kumbuka nimeshatoa mimba 17 ulizonipa. Minaogopa naweza kuharibu kizazi. Usijali ninawaandalia wazazi wangu chakula, nitawawekea sumu ili turithi mali zao. Bye sweetheart, I love you.

Je, ungekuwa ndio baba yake ungefanyaje?
 
Demu alifariki kwa ukimwi sasa mama yake akawa anaangalia nguo zake akakuta bikini mama akasema, kweli ugonjwa huu ni mbaya umekondesha mpaka chupi!

Kwa kwa kwaaaa haha haaaaa
 
I won't be impressed with technology until I can DOWNLOAD FOOD
 
Kuna kichaa alkuwa kando ya bahari cku moja akitazama maj,akapita msela akamwambia vp man,'umeona nin kipya huko?'yule kichaa akamjibu'NAITAFAKARI SANA HII BAHARI INGEKUWA SUPU CJUI NINGEINYWA NA CHAPATI NGAPI.msela hoi domo waz
 
Kuna kichaa alkuwa kando ya bahari cku moja akitazama maj,akapita msela akamwambia vp man,'umeona nin kipya huko?'yule kichaa akamjibu'NAITAFAKARI SANA HII BAHARI INGEKUWA SUPU CJUI NINGEINYWA NA CHAPATI NGAPI.msela hoi domo waz

Hahahaaaaaa!
 
Teja alikuwa anaangalia kioo kwa makini sana, kisha akampa mwenzie na kumuuliza "oyaa mwana hivi huyo nani?. Teja wa pili akasema "mwanangu huyu mwanao mwenyewe mimi". Teja wa kwanza akachukua kile kioo na kuangalia kwa makini zaidi akasema " aaagh kumbe huyu wewe, nilijua mimiiiiii. Kumbe mwanangu umechoka hivi?
 
mbavu zangu,kweli izi sms ni tabu tupu sitasahau siku nilituma sms nikajua imeenda kwa mbea mwezangu tuliekua tunachat tukimsema jamaa nikakosea ikaenda kwa mhusika dah!!sitakaa kusahau
 
inabidi niende hospitali nikapige X- ray nahisi mbavu zimevunjia kwa kucheka, gays you make my day
 

imeharibu mbavu zangu.!
 
jamani hii imenivunja mbavu kwa kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…