Yani post zako uharo mtupu hakuna kichekesho hata kimoja, ni bora ungejifungulia uzi wako mwenyewe kuliko kuleta hizo virus kwenye huu uzi! Upuuzi mtupu!!!!!
Kuna SMS nyingi zimekuwa zikitumwa zenye vituko. Tupia yako hapa. Baadhi ni:
****************************
Mke: Naomba tuongee mume wangu
Mume: Ongea
Mkuu umisha!
SALAMA JABIR NA MIKASI
Salama Jabir sijui ana MATATIZO gani. Kila AKIMUHOJI mtu lazima AFE. Kamuoji KANUMBA kafa. Kamuoji SHARO kafa. Kamuhoji SAJUKI kafa. Kamuoji MARIAM KHAMIS kafa.Kamuhoji NGWAIR kafa. Kweli ule MKASI wa WASANII na utawakata wote mpaka waishe.
Vipi nimpe NAMBA yako nawe AKUHOJI?
Mkuu mbona kila post wewe unacrash? kwani umelazimishwa si usome na kusepa tu!!
Mleta mada kaanza na ombi km una kituko SURA YAKO TU NI KITUKO
Mama mmoja alikuwa anapika supu,
akamtuma mwanawe limao,
Mtoto wakati yuko juu ya Mlimao akapita Tajiri mmoja akamuona mtoto ------ wazi,
tajiri akamshusha akampa pesa 50,000/= za kununua nguo na chakula,
Mama kuona mtoto kapata pesa, na yeye akapanda juu ya mlimao bila chupi,
Tajiri akamshusha akampa sh. 100 akamwambia kanunue wembe,
Unadhani tajiri kaona nini?
Padri na sister walikuwa wanasafiri na gari ndogo safari ndefu, kufika polini padri akachomoa fuse bila sister kuona.
PADRI: Sister mafuta yameisha.
SISTER: sasa tutafanyaje?.
PADRI: nilipokuwa chuo tulifundishwa hata mkojo utaweza kuwasha gari na kuendelea.
Padri akafungua mfuniko wa tank akaweka pipe yake kama anakojoa, kisha akafunga na kurudishia fuse, safari ikaendelea kama km10 padri akatoa tena fuse gari ikazima.
PADRI: ile mkojo naweka imeishia hapa sina tena mkojo weka na wewe.
SISTER: sawa ila hakuna chombo nitawekaje pale?
PADRI: hakuna namna vua nguo mimi nitaingiza dudu yangu pale ninyonye mkojo wote kisha niweke kwenye tank, sister akakubari, alipokuwa tayari
PADRI: naingiza dudu yangu sasa, naanza kunyonta mkojo, nanyonya..! Nanyonya ooooh mkojo mingi sana nitarudia tena ikiisha nanyonyaaaaa!!!!!.
Baada ya hapo safari ikaendelea.[
/QUOTE]
hahahahaaaa iii kali
[/QUOTE]Cheki kimombo cha polisi wa bongo baada ya kumkamata mzungu:
Yesterday I saw you at the maize shop (jana nilikuona dukani kwa muhindi). When you saw me you started to six six (uliponiona ukaanza kusitasita). When I follow you run and plant a car (nilipokufuata ukakimbia na kwenda kupanda gari). Now your down of security (sasa upo chini ya ulinzi). Sleep and snake well before I cut you a millet (lala nyooka vizuri kabla sijakukata mtama)
Kunguru