Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 30,735
- 39,838
hapo Labda galaxy j1, ila sio simu nzuri kivile.
Asante kaka kwa ushauri wako.hapo Labda galaxy j1, ila sio simu nzuri kivile.
angalia simu kama hizi kama utazipata.
-Huawei p8 lite
-Galaxy j5
hata kama ni used zipo condition nzuri, utaenjoy kuliko kununua mpya za bei hizo, nyingi zina ram.ndogo na cpu dhaifu.
Asante sana mkuuChukua hiyo A5 2017 iko vizuri sana kuanzia camera,storage hadi performance pia ni water proof
Asante chief,na maboresho gni hii j5 pro imefanyiwamkuu kama alivyokwambia Bobbyray A5 2017 ni nzuri zaidi.
na pia sidhani kama kuna c5 2017, haijatoka.
kuhusu bei A series bei zake zimesimama pengine itakuwa around 500,000 hadi 600,000 hivi.
kikubwa ni efficiency soc ya exynos 7870, ambayo inatumia manufacturing process ya 14nm, simu itakaa na chaji sana.Asante chief,na maboresho gni hii j5 pro imefanyiwa
Mkuu infinix hapana.binafsi natumia S2 Pro nimeshaona udhaifu wake,ina mwezi tu toka niinunue mpya kabisa ila nataka hata niuze kwa hasara.nishauri brand nyengine!Ongza 200k nkupe infinix hot 4
Mkuu infinix hapana.binafsi natumia S2 Pro nimeshaona udhaifu wake,ina mwezi tu toka niinunue mpya kabisa ila nataka hata niuze kwa hasara.nishauri brand nyengine!
Asante chiefkikubwa ni efficiency soc ya exynos 7870, ambayo inatumia manufacturing process ya 14nm, simu itakaa na chaji sana.
pia ram sasa hivi ni 3GB na internal inaanzia 32GB compare na miaka ilopita.
pia front camera ni 13mp
vilivyobakia naona ni kama zamani tu.
nlikua nacharge simu. Plug ikapiga short kwenye USB. Mpaka sasa simu haiwaki wala haioneshi chochote. Nafanyajekikubwa ni efficiency soc ya exynos 7870, ambayo inatumia manufacturing process ya 14nm, simu itakaa na chaji sana.
pia ram sasa hivi ni 3GB na internal inaanzia 32GB compare na miaka ilopita.
pia front camera ni 13mp
vilivyobakia naona ni kama zamani tu.
Hiyo simu kwa uzoefu wangu imeungua kabisa,iliishanitokea mimi.kama unaweza jaribu fungua nyuma ya mfuniko ukikuta masizi ujue hivyo.nlikua nacharge simu. Plug ikapiga short kwenye USB. Mpaka sasa simu haiwaki wala haioneshi chochote. Nafanyaje
njoo nikupe CUBOT nchi nzima hakunawakuu mimi nina laki mbili ipi simu ya android nzur nitapata!
Hii simu nzito sana binafsi nishachoka masimu mazito mkuuKachukue Infinix Hot 4. Ni hatari nakwambia. Inakaa na chaji siku mbili. Na inahimili mikiki, camera zake zipo best, inakioo cha upana na urefu wa kuridhisha,iko poa sana.very functional.
Mmmmmmhmn nzito kiaje?!Hii simu nzito sana binafsi nishachoka masimu mazito mkuu