Smartphone za bei rahisi unazoweza kununua

Wakuu naomba kufahamishwa simu nzuri ya bei rahisi ila isiwe Tecno,budget yangu ni 150,000/=/180,000=.Cc Chief Mkwawa
hapo Labda galaxy j1, ila sio simu nzuri kivile.

angalia simu kama hizi kama utazipata.
-Huawei p8 lite
-Galaxy j5

hata kama ni used zipo condition nzuri, utaenjoy kuliko kununua mpya za bei hizo, nyingi zina ram.ndogo na cpu dhaifu.
 
Asante kaka kwa ushauri wako.
 
Asante chief,na maboresho gni hii j5 pro imefanyiwa
kikubwa ni efficiency soc ya exynos 7870, ambayo inatumia manufacturing process ya 14nm, simu itakaa na chaji sana.

pia ram sasa hivi ni 3GB na internal inaanzia 32GB compare na miaka ilopita.

pia front camera ni 13mp

vilivyobakia naona ni kama zamani tu.
 
Wakuu naomba kufahamishwa simu nzuri ya bei rahisi ila isiwe Tecno,budget yangu ni 150,000/=/180,000=.Cc Chief Mkwawa
Ongza 200k nkupe infinix hot 4
13ee7aa806f37ab413edee09bacf03da.jpg
0dff7dd9a88e2454c1fd16fb92dd0c22.jpg
4e3b0b328ab6753fefbee2e5067c6818.jpg
 
kikubwa ni efficiency soc ya exynos 7870, ambayo inatumia manufacturing process ya 14nm, simu itakaa na chaji sana.

pia ram sasa hivi ni 3GB na internal inaanzia 32GB compare na miaka ilopita.

pia front camera ni 13mp

vilivyobakia naona ni kama zamani tu.
Asante chief
 
nlikua nacharge simu. Plug ikapiga short kwenye USB. Mpaka sasa simu haiwaki wala haioneshi chochote. Nafanyaje
 
Hiyo simu kwa uzoefu wangu imeungua kabisa,iliishanitokea mimi.kama unaweza jaribu fungua nyuma ya mfuniko ukikuta masizi ujue hivyo.

Vinginevyo nenda kkoo kama uko dar ukajihakikishie,unaweza kuwa mwenye bahati.
 
Kachukue Infinix Hot 4. Ni hatari nakwambia. Inakaa na chaji siku mbili. Na inahimili mikiki, camera zake zipo best, inakioo cha upana na urefu wa kuridhisha,iko poa sana.very functional.
 
Hii simu nzito sana binafsi nishachoka masimu mazito mkuu
 
Mmmmmmhmn nzito kiaje?!

Maana mimi nimeitumia hadi kuna mtu aliimind akaninyang'anya kwa kuniongezea pesa kidogo nikachukua niliyonayo now.

But niliipenda ipo vizuri sana kwa simu zabei ya chini. Ipo speed labda kama ulikuwa unaiabuse.
 
Similar Discussions

2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom