Smartphone za bei rahisi unazoweza kununua

hio y6 pro aliokutajia jamaa hapo juu kama utaipata kwa bei hio itafaa, inakaa na charge lakini perfomance yake na matumizi kwa ujumla yatakuwa sio mazuri kama hizi nilizokutajia.
Chief naomba unisaidie ni simu ipi bora kati ya HUAWEI P8Lite na SAMSUNG J3

Kuanzia Camera, chipset, battery, protection, na performance natanguliza shukrani
 
perfomance na chipset ni p8 nzuri, camera na battery j3 ni nzuri

why usitafute j5? inacover weakness za wote hapo juu na bei almost ni sawa
 
Chief-Mkawa,Kati ya Samsung A5(2017), Samsung j5pro(2017)na C5 (2017) nnichukue ipi, mkuu,napenda camera,storage,na performance ,kama hutojali ukaweka na bei mkuu,na kwa yeyeto anaye kuwa na wazo anipe
 
Chukua hiyo A5 2017 iko vizuri sana kuanzia camera,storage hadi performance pia ni water proof
 
Chief-Mkawa,Kati ya Samsung A5(2017), Samsung j5pro(2017)na C5 (2017) nnichukue ipi, mkuu,napenda camera,storage,na performance ,kama hutojali ukaweka na bei mkuu,na kwa yeyeto anaye kuwa na wazo anipe
mkuu kama alivyokwambia Bobbyray A5 2017 ni nzuri zaidi.

na pia sidhani kama kuna c5 2017, haijatoka.

kuhusu bei A series bei zake zimesimama pengine itakuwa around 500,000 hadi 600,000 hivi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom