Kushuka bei kwa simu za oppo kariakoo shida nini?

May 9, 2014
57
45
habari zenu wana JF, hivi karibuni nimeshuhudia poromosheni kubwa ya simu za kampuni ya oppo hasa zile za A series , unakuta internal storage 128, RAM 6, Qualcomm and octa core processor , ambapo simu zenye specifications hizo ziliuzwa bei kubwa sana lakini sasa zinauzwa 95,0000 hadi 100,000 je tatizo nini na kuna mapungufu gani katika simu hizo? Kwa wataalamu tujuzeni tuelewe.

Natanguliza shukrani zenu wakuu uzi utembee huu
 
Mkuu Hizo ni fabricated sio Original niliwah kuiangalia moja alinunua mtu akanionyesha kwanza picha linaanza ina Operation system similar to IOS halafu yenyewe ni Android ROM ni 32 na sio 128 hizo zimeandikwa tu ila ukitaka kujua ijaze 32GB storage utaona utamu wake itakuambia low Internal storage kifupi ni fabres
 
habari zenu wana JF, hivi karibuni nimeshuhudia poromosheni kubwa ya simu za kampuni ya oppo hasa zile za A series , unakuta internal storage 128, RAM 6, Qualcomm and octa core processor , ambapo simu zenye specifications hizo ziliuzwa bei kubwa sana lakini sasa zinauzwa 95,0000 hadi 100,000 je tatizo nini na kuna mapungufu gani katika simu hizo? Kwa wataalamu tujuzeni tuelewe.

Natanguliza shukrani zenu wakuu uzi utembee huu
Ni 3-4G

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Oppo sijui kimewakuta nini ,hata rafiki yangu anauza simu nilitaka simu alivyonitajia bei ya Oppo na kulinganisha RAM pamoja na storage nikaona kitonga sana ila akanishauri nisichukue zitanibumia.
 
Hiyo ni kweli hata mimi nimeanza kudharau Oppo kwa sasa na kuona bora hata Infinix ,maana kuna mtu nilimkuta na Oppo specifications zake za hadhi ya juu ila bei ya mboga gadi nikashangaa.

Mkuu kwani bei ndio kigezo pekee cha ubora wa simu?
Maana umeandika umeidharau iliposhuka bei
 
Ukikuta Iphone toleo jipya tena mpya unapata kwa elfu themanini au laki tatu hautoona ajabu ?

Kuna vitu vinajulikana mfano simu mpya RAM 4 na Internal 64 karibia zote kampuni kama Vivo ,Xiomi ,Infinix nk haiwi chini ya 250K sasa unakuta Oppo 4 RAM storage 128 kwa laki mbili tu ndio maana nikastuka.Halafu baada ya kuuliza baadhi wakasema hazina ubora simu za namna hiyo.
 
Mkuu umezidharau kwasababu ya ubora wake au bei yake?

Inaonekana kama wakati zinatoka ulikua unaziheshimu bila kujali specifications zake
 
Yah ,Oppo nilikuwa naichukulia kwa uzito mkubwa japo sikuwahi kutumia ila sasa nimezishusha vyeo baada ya kuona simu kubwa zinapatikana kwa bei rahisi sana .

Sababu nyingine baada ya siku kutaka simu na kumuuliza jamaa yangu muuza simu anipe simu zenye sifa fulani kwa bei fulani akasema utapata lakini Oppo na akasema Oppo zinamatizo mara nyingine kupata moto kiurahisi nk , hatimaye akanishauri niongeze mpunga nichukue simu ya uhakika.
 
Back
Top Bottom