Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,054
- 463,926
Hivi kwa nini haujaniambia niingie jf toka alfajiriNakuonaa nakuonaaa
Hivi kwa nini haujaniambia niingie jf toka alfajiriNakuonaa nakuonaaa
Kila nikisoma hiyo mifano natetemekaaaUsife shost.
Maana code ulikuwa hauielewi hadi tukakutolea mfano ndiyo ukaelewa
Kaka bonny mwenyewe mara elf 10 sitaki shida mie nendeni pm mnatuharibia uzi wetu jaman

Nimeielewa ndugu mbona rahisijamanii naomba mtoe pin code hizoo
Post sent using JamiiForums mobile app
Si nilikuita kulee... Geni nae kakuitaaNajuta ujue hivi kwa nini haujanipigia lakini nitamalizaje hizi pages
Ukinigawa nita enjoy vipi hizi raha. Usinigawe, nishikilieni hivo hivo hata kama naruka rukaNakugawa jaman
Hivi umeiona clip mpya ya joti kalianzisha valangati bar. Akataka achukue Savanna ya mtu akakikuta iko nusu![]()



sijaiona nitaitafutaThat's why i respect you rubiiSawa Dadii ake
Asante. Mwambie huyo maana msuto utamgeukia soon kwa nini hatuelewi sisi jamani tumeshasema hamna kitu haelewiMaserati
Lini ulikuwa mtaalam shogaa
Yaani wewekweliii???
Siamini, hebu sijui nikufate pm![]()
Jf ni sheeda... Watu wakiona lugha ka ya Bonny wanajua nimepataaaa






nimecheka sana kumbe kapatwaDaaaaaahYaani, huyo nimemshindwa tabia
Kumbe unajua kiswahili jaman kwa nini mmetutesa sasaMungu hapendi
Sawa wewe kataa kesho kutwa couple ikibadilika akawa na Juma ( mfano) . tutakuchamba wewe mpaka.





nitaomba assist kutoka kwa Aleppo
Hapo sasa. Kwa mfano hapa nikichambwa nashushia na Pepsi bariiidiInauma uchambwe halafu code yenyewe huijuihauielewi
HahahaInauma uchambwe halafu code yenyewe huijuihauielewi
Sanaa jamaan long live jf ashukuriwe max jamaan