Maserati
JF-Expert Member
- Jun 15, 2014
- 11,602
- 20,101
Shoga najaribu tyuuuu. Ha ha ha haMaserati
Lini ulikuwa mtaalam shogaa
Shoga najaribu tyuuuu. Ha ha ha haMaserati
Lini ulikuwa mtaalam shogaa
Nakuonaa nakuonaaaKuna mupya au ni yale yale ebu niwe kama geni mie nianze kufatilia moja bada ya moja
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]maserati jaman[emoji32][emoji32][emoji32]kweliii???
Siamini, hebu sijui nikufate pm [emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
jamanii naomba mtoe pin code hizooBora tusutwe halafu code umeielewa.[emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]
Hapana maji hayatakata ujueKunywa maji
Dada usinisahau na mie ujue[emoji15] [emoji3] [emoji3] naomba tukutane pm...
Post sent using JamiiForums mobile app
Yaani hata hii mimi namfata pm[emoji15] [emoji3] [emoji3] naomba tukutane pm...
Post sent using JamiiForums mobile app
[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Utajijuuu Nina mimba wala sionagi Siku zangu..
Haya twende nisipokuvua boxer
Sakayo sio mtu mzuri kabisa ujue[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nakugawa jamanNaomba nigawe tu, nimeridhia [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hivi umeiona clip mpya ya joti kalianzisha valangati bar. Akataka achukue Savanna ya mtu akakikuta iko nusu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Naomba savanna ya baridi sana nina kiu ndio naingia ujue
Sawa wewe kataa kesho kutwa couple ikibadilika akawa na Juma ( mfano) . tutakuchamba wewe mpaka.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]huwezi jua lakini, kwahyo dyadya mtulivu lakini, una wasiwasi na me??
Jf ni sheeda... Watu wakiona lugha ka ya Bonny wanajua nimepataaaaAiseeee unamkanaje mumeo jamaan
Mungu hapendiNendeni pm bhana
Mi sikuielewa sasa, wakani assist [emoji23][emoji23][emoji23]Mbona mie nimeilewa
Kaka bonny mwenyewe mara elf 10 sitaki shida mie nendeni pm mnatuharibia uzi wetu jamanseguir esperando
Acha niagize mamyHahahah agiza kwa mangi nalipia.
Nunua na popcorn.
Kuna show hapa za kuvuana nguo
Wanasema hatariousDark angel lakiniiii